Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu itaendelea kukopa kwa sababu deni la nchi bado ni stahimilivu. Najiulizaga maswali mengi sana juu ya hili deni,
Ni nani anawajibika kulilipa maana tunaskia tu nchi inakopa lakini hatuskii wakisema tumepunguza kulipa deni kiasi flani
Ni nani anawajibika kulilipa maana tunaskia tu nchi inakopa lakini hatuskii wakisema tumepunguza kulipa deni kiasi flani