Deni la Taifa lafika Tril. 52/-

Deni la Taifa lafika Tril. 52/-

Ivi nchi inauzwa shilingi ngapi???? Kama vipi watafutwe mabeberu wauziwe KILA mtu agaiwe chake....najua KILA mtu hakosi kuanzia 10B.....

Then KILA mtu asonge mbele atafute nchi ya kuhamia....

KILA siku nasikia habari za Deni la taifa na directly sioni kukopwa kwake nimefaidika Nini...
 
Hayo ni mawazo ya kwako na uhalisia haupo hivo. Ushauri wa bure ukisoma bajeti yetu ya mwaka wowote wamespecify pesa za ndani ni zipi. Na hizo grants and loans ambazo zinatoka nje ni zipi.
Ni za kwetu ndio si tutazirudisha? Au mimi ndio sijui maana ya kukopa.

Ingekuwa tumepewa kama msaada hapo ningesema kweli hizo pesa sio za kwetu ila hiyo ya kukopa mzee aaaah! Hizo ni pesa zetu
 
Hayo ni mawazo ya kwako na uhalisia haupo hivo. Ushauri wa bure ukisoma bajeti yetu ya mwaka wowote wamespecify pesa za ndani ni zipi. Na hizo grants and loans ambazo zinatoka nje ni zipi.
Endelea kukaza kichwa
 
Back
Top Bottom