Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,916
- 11,251
Acha laana imempate ili akome maana alikua sehemu ya kutetea mfumo kandamizi uliowaletea Watanzania umaskini kwa kukosa huduma muhimu. Acha aisome number alifikiria tuliotaka ccm wapumzike tulikuwa vichaa eeeh na bado mfyuuuuu