Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki

Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa bali halilipiki....fikiria T.shirt moja aliiuza kwa elfu 95 mpaka Bibi Zakhia akamuuliza ....Zilikuwa ni za kivita kw maana ya bulletproof t.shirt? Na kofia aliuza moja elf 50....pia akaulizwa ...uliuza kofia au Hellement? Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.
 
Deni la Shigongo kumbe si kwamba anazungushwa kulipwa b Hayo maswali yalimpa kiu na kuomba apatiwe maji.

hata kama aliuza kofia moja kwa laki nne la msing tu walikubaliana kufanya hio biashara inatakiwa alipwe ela take...achen kuja excuses dawa ya deni ni kulipa tu
 
Ha haaa haaaaa.... ccm bana.... sasa si walizipokea? Ilikuwaje kuwaje mpaka wakubaliane nae? ...walimpa LPO au hawakumpa.... kale kawimbo kao ...." ni ile ile, ile ileeee" nachelea kusema ni dili maana sijui terms zilikuwaje, labda mliziagiza by air kuwahi .... ila kama mlizikubali na kuzipokea kuto mlipa ni uhuni....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom