Deni la Kenya lazidi kupaa ujenzi wa SGR

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,483
Points
2,000

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,483 2,000
Deni la Kenya kwa China limepanda kufikia TZS 14.5 trilioni kwa miezi 12 kufikia Juni 2019, kufuatia kuchukua mkopo mpya wa TZS 2.2 trilioni katika kipindi hicho kwa ajili ya SGR. China ndiyo inaongoza kwa kuwa mkopeshaji mkubwa wa Kenya (bilateral lender), ikifuatiwa na Japan.

IMG_0683.JPG
 
Bwana254

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
849
Points
1,000

Bwana254

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
849 1,000
Deni la Kenya kwa China limepanda kufikia TZS 14.5 trilioni kwa miezi 12 kufikia Juni 2019, kufuatia kuchukua mkopo mpya wa TZS 2.2 trilioni katika kipindi hicho kwa ajili ya SGR. China ndiyo inaongoza kwa kuwa mkopeshaji mkubwa wa Kenya (bilateral lender), ikifuatiwa na Japan.

View attachment 1194955
Nonsense alarmist thread.

Kila mwaka Kenya inaongeza uchumi wake kwa takriban $10billion sasa wewe unapuruka sababu ya deni la $5bn jameni? Pilipili usiokula wakuwasha nini?

Ngoja utaona uchumi wa Kenya ukipanda juu mwaka huu kwa Tanzanian shlllings 23 trillion.
 
interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
7,220
Points
2,000

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2018
7,220 2,000
Jiwe gizani bila shaka, maana si kwa povu lote hili
Nonsense alarmist thread.

Kila mwaka Kenya inaongeza uchumi wake kwa takriban $10billion sasa wewe unapuruka sababu ya deni la $5bn jameni? Pilipili usiokula wakuwasha nini?

Ngoja utaona uchumi wa Kenya ukipanda juu mwaka huu kwa Tanzanian shlllings 23 trillion.
 
mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
11,117
Points
2,000

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
11,117 2,000
Tunashughulika na ya Manyang'au ilhali Ndege yetu tulionunua kwa pesa zetu za ndani imekamatwa na mkulima kule OR Tambo kwa ajili ya deni. Hawa Wakunya tangu dunia kuumbwa sijasikia Mali Yao Kukamatwa kea ajili ya deni.... Watanzania wenzangu dawa ya deni Ni kulipa. mkorinto si tulipe hili denu Ndege irudi ikabebe Jiwe?
 
Forum statistics

Threads 1,391,790
Members 528,461
Posts 34,089,137
Top