king kunta j
Senior Member
- Jul 21, 2021
- 124
- 87
Kuna namna ya kucheki deni halisi ktk website yao.Hawa jamaa inatakiwa kuuza deni tu, hata mimi naona changamoto tu, deni lilikuwa 250,000/=, miezi mitatu iliyopita jana nacheki nakuta 2420,000/=
Yaani kutoka 250,000/= Hadi 2,420,000/= ?Hawa jamaa inatakiwa kuuza deni tu, hata mimi naona changamoto tu, deni lilikuwa 250,000/=, miezi mitatu iliyopita jana nacheki nakuta 2420,000/=
mkuu nenda kachukue statement pale ofisini kwao utakuta huna deni mi nilifanya hivyo nikachukua na barua yangu kibindoniWasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000.
Hivi Ni Nini kwanini hili deni limekuwa tatizo sana mwengine alitupandishia makato nje ya mkataba huyu naye anapandisha deni bila taarifa
Mimi imepanda kotekoteKuna namna ya kucheki deni halisi ktk website yao.
Sijaelewa Ni kwamba deni linaishaje chief?mkuu nenda kachukue statement pale ofisini kwao utakuta huna deni mi nilifanya hivyo nikachukua na barua yangu kibindoni
Acha tuDah! Hii nchi ngumu mpaka basi.
UNAANGALIAJEEKuna namna ya kucheki deni halisi ktk website yao.
..hata Mimi nimekuta limepanda kotekote..na nilikuwa almost kumaliza deni ..yaani HESLB inabidi ilitolee ufafanuzi jambo hili la kupandisha deni kinyemela..mkuu nenda kachukue statement pale ofisini kwao utakuta huna deni mi nilifanya hivyo nikachukua na barua yangu kibindoni
Duh! Kuna umuhimu wa kuwapandia hewaniMimi imepanda kotekote
Ni rahisi sana !nimesahau tu😇Hivi unachekije kwa website yao? Nilijaribu kucheki nikaambiwa ntatumiwa within 48hrs ila sikuona chochote. Msaada please