Deni la Benki kufilisi mali za Manji

Deni la Benki kufilisi mali za Manji

Manji again ! Kisasi ni kitu kibaya sana haswa kinapotekelezwa Na mwenye mamlaka
Kwani Magufuli ana miliki hiyo Bank? Mbona mnapenda kuchanganyika Mambo? Mamlaka ya Magufuli ni kuongoza nchi na sio Bank. Hiyo Bank iko hapa kufanya biashara, haihusiki chochote na serikali ya Tanzania. Mamlaka ya Magufuli yanakujaje hapo?

Akili finyu nafikiri. Au chuki iliyo pita kiasi.
 
Haya yanamwisho lakini.... hakuna wa kukaa milele pahala fulani... chuki binafsi huwa ana matokeo mabaya sana time will tell....
Wapi umepata elemu yako? Au huelewi unacho kisoma?
 
Manji hawezi kufilisika ameamua kufanya uhuni tu
Hapo kacheza mchezo tu
 
Haya yanamwisho lakini.... hakuna wa kukaa milele pahala fulani... chuki binafsi huwa ana matokeo mabaya sana time will tell....
Time will tell nini?
Muwe mnatumia ubongo, vizuri sio kila kitu uchangie, kamajambo hulijui si unakaa kimya!

Huyu manji si alikopa nssf kimaghumashi tena enzi za Kikwete?
Na moja ya mambo yaliyokuwa yakiibeba chadema bunge live ni pamoja na hii saga ya manji?
Sasa mabank yanataka pesa zao nyinyi chagadema mnageuka kumlaumu JPM why!

Siku hizi cdm sera zenu ni utetezi wa mafisadi, wakati JPM akichanja mbuga SGR [emoji1787]
 
Unaninpangia cha kuzungumza? Mimi na wewe nani atumie ubongo wake vizuri? Wewe unayeyajua mambo kwanini ujakaa kimya kwani lazima uchangie au ujibu.. acha kutumika vibaya.. idiottt!
 
Back
Top Bottom