Siasa Basi
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 1,493
- 4,287
Hizo ni mbinu za jiwe, hakuna kingine zaidiKwani Jiwe ndo alimpeleka huyo Manji kwenda kukopa hiyo bank? Inaonekana unachuki za kichawi
Hizo ni mbinu za jiwe, hakuna kingine zaidiKwani Jiwe ndo alimpeleka huyo Manji kwenda kukopa hiyo bank? Inaonekana unachuki za kichawi
I noted that too, but as i know you can aslo appoint receivers to sell your property as you work out issues with your bankers, as in if they want 100 from you , you can appoint receivers they sell at 300 and deduct their debt, commision and give you the balance, it happens in the westKuna kitu kinamiss kati ya taarifa ya huyu mwandishi na ile ya PWC, ila nimeshindwa kukielezea kwa ufasaha.
Kuna issue za generality na exclusivity haziko wazi, as ni mali zote au ni ile iliyokuwa mortgaged kwa benki (charged as indicated in PWC's official release).
jiwe atamaliza taifaHizo ni mbinu za jiwe, hakuna kingine zaidi
askini manji,bado NMB na NBC
Yaani unakopa hela kwenye mabenki, waweka dhamana nyumba, mali na majengo, mabenki yakikufilisi hutakiwi kujilaumu kwa kushindwa kuyalipa, wewe mlaumu JIWE, hata kama ulizitumia kula unga na kujirusha au kugawa hovyo kwenye vilabu vya mpira?!
Ukisikia undorobo ndiyo huo...
Kata miti mizizi yake au uitahiri kama wanavyofanya wasukuma halafu tuone kama mti hautanyauka...Kwani Jiwe ndo alimpeleka huyo Manji kwenda kukopa hiyo bank? Inaonekana unachuki za kichawi
I noted that too, but as i know you can aslo appoint receivers to sell your property as you work out issues with your bankers, as in if they want 100 from you , you can appoint receivers they sell at 300 and deduct their debt, commision and give you the balance, it happens in the west
now thats a force you cant control sir, but i think there is more than meets the eye here, hope you get my pointYap, that is one sided example, now what if the property at charge sells less than the amount owed? (Which is the most probable outcome to this case).
now thats a force you cant control sir, but i think there is more than meets the eye here, hope you get my point
Kuna mchezo anacheza wa kuuza majengo yake,maana akiyapiga bei live watu wanaweza kukamata pesa.Huyo nasikia anaondoka inawezekana ni mchezo anaucheza nasi bila kujua tunaucheza anavotaka
Ni muhimu kutangaza kuwa ni mufilisi ili uwe huru ukaanze kwengine upyaManji anajiongeza...
Akifilisiwa hapo ndo atapata njia ya kuondoka kilaini na hatadaiwa!
Mjanja sana yule choli....
ubongo wote pesa ule...Ni muhimu kutangaza kuwa ni mufilisi ili uwe huru ukaanze kwengine upya
Well said issue of motigaged is an judgementKuna kitu kinamiss kati ya taarifa ya huyu mwandishi na ile ya PWC, ila nimeshindwa kukielezea kwa ufasaha.
Kuna issue za generality na exclusivity haziko wazi, as ni mali zote au ni ile iliyokuwa mortgaged kwa benki (charged as indicated in PWC's official release).