Deni la Benki kufilisi mali za Manji

Deni la Benki kufilisi mali za Manji

Furaha ya jiwe kuona matajiri wanakuwa masikini akidhani nae atoathirika kwa kukosa mapato, kila MTU abaki na fani yake.
 
Nyie mnaojiita timu ya wananchi jitokezeni basi mumchangie bosi wenu wa zamani,kumwacha peke yake sio vizuri
 
Mchato kaua uchumi biashara kaua, mabenk yamefilisika,mifuko ya jamii imefilisika hadi wameiunganisha na kuleta Sheria kandamizi za mafao
Yaani unakopa hela kwenye mabenki, waweka dhamana nyumba, mali na majengo, mabenki yakikufilisi hutakiwi kujilaumu kwa kushindwa kuyalipa, wewe mlaumu JIWE, hata kama ulizitumia kula unga na kujirusha au kugawa hovyo kwenye vilabu vya mpira?!
Ukisikia undorobo ndiyo huo...
 
Jiwe kaua uchumi thus Manji biashara zimebuma kashindwa kurejesha Mkopo.
Acha umaku, jiwe ndio alimuambia hugo vabacholi wako akakope hela asihowez kuirudisha? Hakuna unachojua, kaa kimya au enselea kuropoka kwa kivuli cha uhuru wa kuongea. Chadema mna akili mbovu mnoo
 
Kuna kitu nyuma ya pazia maana mara zote mfilisi anaweka anachodaiwa huyo mtu na benki husika na alitakiwa kumaliza deni au ameshindwa kurejesha kutokana na mkataba lakini sasa mbona ni maneno tu bila kiasi anachodaiwa ?

{Usijifanye upo sawa mbele ya utawala wowote maana utaumia wewe}
 
Jiwe kaua uchumi thus Manji biashara zimebuma kashindwa kurejesha Mkopo.
Mbaazi ikikosa maua husingizia jua! Mnatafuta sababu tu zisizo na maana, kwani aliyekopa nchi hii ni Manji tu? Wanaolipa madeni wenyewe wanatumia uchumi wa nchi gani?
 
ooh Manji anafunga makampuni yake na kuyahamishia Zambia, kumbe anadaiwa na mali zake ziko mbioni kufilisiwa
 
Kama kampuni ina Limited Liability Status, then ina maana ni mali tu zinazomilikiwa na Quality Group ndizo zitapigwa tanchi na zile zingine zitasalimika.

Ila kwa kuwa ni wazi kuwa makampuni yanayodaiwa ktk nchi hii ni mengi na hatuoni yakipitia hii hali wanayopitia hii kampuni ya akina Manji ndipo tunaposhawishika kuamini kuwa hili swala linachochewa kutoka sehemu fulani kwa msingi wa bifu. Nothing else.
 
Haya yanamwisho lakini.... hakuna wa kukaa milele pahala fulani... chuki binafsi huwa ana matokeo mabaya sana time will tell....
kwa kuna alimwambia akakope mkuu?au madeni kachomekewa??
 
Hakuna kitu kibaya maishani kama kuwa na kinyongo/ kisasi hakika bwana yule ana roho ya umaskini haijapata wahi kutokea...
 
Hii kauli ya matajiri kuishi kama maskini iliishia hapo hapo au inaendelea na maskini watabaki vile vile?
 
Haya yanamwisho lakini.... hakuna wa kukaa milele pahala fulani... chuki binafsi huwa ana matokeo mabaya sana time will tell....
Kwaio hata manji hawezi kuwa mkwepa Kodi millele sio?
 
Back
Top Bottom