Ile ni CV au malalamiko?uyu mjamaa sijui anawazaga nn, apo kati alitoa CV yake imeshiba tu!!! sasa leo madenda tena.
Arrrrggggggrrrggg!!!!
Siasa ngumu sana... mpaka unahamia kwenye Ng'ari ng'ari...
Kwani wapi umeambiwa tunaenda kupigana denda kaburini?!Kwa taarifa yako .... Mtu anapofariki sehemu ya kwanza kuoza au kuharibika ni mdomo ikiunganika na utumbo
Hebu msaidie ilaUngemalizia kabisa kwa kutoa ushauri kwa wasiotumia denda
Hasa vidudu vya H.Pylori vinavyoleta vidonda vya tumbo. Usimle denda mwenye ugonjwa wa vidonda vya tumboInaelezwa kwamba bacteria wanaopatikana katika kinywa cha binadamu ni hatari zaidi ya wale wanaopatikana chooni? Kama ni kweli denda moja ya hatari zinazoleta magonjwa ya meno
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jmn kwahyo mwanasiasa denda ni haramu kwake!!!!