BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,367
Bora uje upande huu hata ukimwaga pumba huchukuliwi serious.
[emoji12][emoji12]denda kwa mtu unaempenda yaan
[emoji23][emoji23][emoji23] Daby achana na hiyo kitu[emoji12][emoji12]
[emoji4] [emoji4] [emoji6]Denda lina raha yake jamani
Aseeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jmn kwahyo mwanasiasa denda ni haramu kwake!!!!Kutoka kwenye siasa hadi huku[emoji15]
Siasa ngumu sana... mpaka unahamia kwenye Ng'ari ng'ari...
Tamu eeh[emoji23][emoji23][emoji23] Daby achana na hiyo kitu
Nakuona candy[emoji4] [emoji4] [emoji6]
sanaaa [emoji39]Tamu eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]daby wakubwa wanafaidi eeh!! kumbe ndo mana kae!!Nakuona candy
Ukubwa raha asikuambie mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23]daby wakubwa wanafaidi eeh!! kumbe ndo mana kae!!
Sio anamaanisha wale waliotoka mkoa mmoja na kale kajamaa..unaposema aibu ni kwa washamba ukimaanisha watu gani haswa,
Huku ndio kunakufaa sio kwenye siasa.DENDA HAINA MADHARA, MADHARA YAKE NI UTAMU UKIZIDI.
Katika mapenzi denda inakorombeza na kushawishi mvuto wa kuangukia kitandani kucheza mchezo wa Baba na Mama.
Denda inaambatana na mate, kama mmoja hapigagi mswaki au ana michubuko mdomoni hilo denda lenu linaweza kuzaa magonjwa ya kuambukizana hata UKIMWI pia. Ndio maana kabla ya denda(kunyonyana ndimi) hakikisheni midomo iko salama na muwe wasafi kwa kupiga miswaki.
Denda huwa haichagui mahali pa kufanyia, popote pale inaweza kufanyika maana haina aibu wala MADHARA mbele za watu. Aibu ni kwa washamba tu, Ila kwa usitarabu lazima ulinde heshima yako ya mapenzi. Denda ni nusu ya ngono, angalia usije kumuuma ulimi mpenzi wako maana wengine ni wageni na denda. Karibuni:
Naitwa:
Deogratius Nalimi Kisandu