Mapenzi ni uchafu na hayana kinyaa vumilia ila kuwa msiri mambo ya ndani yaishie huko hukoNaombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni bf ama mume unalala naye kila siku anapangusa asubuhi kwikwikwiNaombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
Mapenzi ni uchafu na hayana kinyaa vumilia ila kuwa msiri mambo ya ndani yaishie huko huko
heee,,siumwambie ukweli ..kwamba huwezi maana kinywa kinakuwa na bacteria asubuhi hadi kipigwe mswaki...
Hamuendagi kazini?Naombeni ushauri nina boyfriend wangu tunagombana kila siku asubuhi tunapokuwa tunafanya mapenzi nimekuwa nashindwa kabisa kumpiga denda nakuwa sijisikii kulambana wakati hatujapiga mswaki sasa amekuwa akiniambia simpendi na anahisi mapenzi yangu yamepungua, je nifanyeje anielewe?
cha asubuhi mkuu....nimeona kuna thread ya 'cha alfajiri' ulianzisha...!Hamuendagi kazini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ya 2014 ile nimeiona nikaishia tu kuchekacha asubuhi mkuu....nimeona kuna thread ya 'cha alfajiri' ulianzisha...!
Kuna mtu kaifukua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ya 2014 ile nimeiona nikaishia tu kucheka
Mimi mwenyeweKuna mtu kaifukua.