Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Bandugu bapenzi acheni mtoto wa watuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.
Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???
Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.
I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.
Regards
DA
Alafu wewe nakutamani kweli sema kila siku nakuvizia pale kijiweni alafu hutokei.....fanya mpango basi!
Ulitakiwa uwajibu hao wanaoanzisha thread kwenye hizo thread au kutochangia kabisa. Tatizo lako unazijibu weee halafu leo unalalama ndiyo mana hawakuelewi kama upo seriaz. Usiwe ndani nje bali uwe na msimamo thabit. Maana hueleweki kabisa
Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.
Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???
Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.
I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.
Regards
DA
Nawe nayeOmba BAN ya muda ili watu tukusahau!
Halafu nilikuwa na mpango wa kukuanzia Uzi leo baada ya lunch,na nina lazima niuanzishe kwa sababu sheria za JF zinaruhusu
Yake siyo thread bali quote!!...lol!Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli
Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli
Aaagh Dena vp tena...ile post ya posa la uchumba uliikubali maguu 100...tulijaribu kukutetea,ukatu-diss ukadai tuna wivu kwani we ni msichana lazima uolewe...sasa leo vp ??mbona na wewe waanzisha sredi nyingi ku-complain same??umezijibu kwa kunoga na watu nao wamenogewa....kwanini isiwe kwa Afrodenzi au Preta au pauline,au lizzy au mwanajamii 1 na wengine??hawa hawataki mambo ya kijingajinga na wanajua kudeal na hivi vifataki!!ndio maana hukuti mada za ajabu kuhusu hao watu.
Nahisi more is coming if u dnt take right measure on tht..sijui ukiona fahari ama??imekula kwako!!
Yani hiyo tu ndio sababu???Basi ngoja nitulie ila by the time anaacha kuzingua na mimi ntakua nimeshaondoka!Kuna mshikaji mmoja
Anadai kanipenda kwa hiyo
Ngoja nimkaushe kwanza sababu
Anajifanya bishololo hahahahahahahah lol
Ndoo maana nimebadilisha njia siku hizi lol..
Nway naenda kwa shangazi kesho nchana ntakupitia basi..
so mchungaji mzima unataka kondoo wako tuwe tunapigwa??Kuna thread na clip....nitafata Mwongozo ule!