BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
Kuna uzi humu umeelezaTaarifa za kifo chake kipo uzi upi mkuu?? Nimechek profile nakutana na RIP dah
Labda jaribu kuu-search
Kuna uzi humu umeelezaTaarifa za kifo chake kipo uzi upi mkuu?? Nimechek profile nakutana na RIP dah
ngoja tu ni reply japo hutaweza tena kusoma hii comment! MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA PEPONI Dena AmsiAsanteni sana wote mlionipa pole tumemaliza mazishi na leo ndo nimreport kazini.
Mungu awabariki sana na kuwaongoza katika kila jambo.....
MJ1 Thanks dada uwe na moyo huo huo
DA