Dena Amsi jamani.....yaani!

Dena Amsi jamani.....yaani!

hivi taifa star na chipolopolo wanacheza lini?. naskia kabla ya mechi kutakuwepo na mashindano ya kunywa bia pale tcc chang'ombe. nani mwenye taarifa?. mia
 
hivi taifa star na chipolopolo wanacheza lini?. naskia kabla ya mechi kutakuwepo na mashindano ya kunywa bia pale tcc chang'ombe. nani mwenye taarifa?. mia

sachi gugo utapata taarifa zaidi...... Hamsini!!!!!!!!
 
Dena Amsi njoo hapa unipe maelezo zaidi kuhusu ndoa yako na unipe ufafanuzi juu Mr Rocky na BP zilizokuwa zimekupanda wiki tatu zilizopita,come this way please
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi njoo hapa unipe maelezo zaidi kuhusu ndoa yako na unipe ufafanuzi juu Mr Rocky na BP zilizokuwa zimekupanda wiki tatu zilizopita,come this way please
Baba V hebu ulizia vyema maana naona kuna harufu harufu ya dam hapa inapita na naona kuna mtu anataka atolewe dam hivi hivi na xmass hiii

Mmmhh shiiiiiiiiiiiiiii funika kabla hajaona huyo mzee

aaaaahhhh sasa nishakuwa mzee eeehhh ngoja utanieleza Dena Amsi yamekuwa hayo sasa eehhh eti funika na nishasoma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom