Dena Amsi jamani.....yaani!

Kwa kusahau huyo mume wangu namjua mwenyewe nimemuaga na nauli kanipa na kanopeleka ubungo mwenyewe nashangaa eti kasahau leo.............................

Naona analake jambo tu hana lolote........................

EEEEEEEeee kweli nimekumbuka! Unajuwa nilikuwa nawahi kunako kikao!
 
cku nyngne mpeleke na yeye akapate kakikmbe, huu ugonjwa wa kusahau utaondoka!
Kwa kusahau huyo mume wangu namjua mwenyewe nimemuaga na nauli kanipa na kanopeleka ubungo mwenyewe nashangaa eti kasahau leo.............................

Naona analake jambo tu hana lolote........................
 
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
Wasalaaaaaaaam

Mkuu mara ya mwisho nilimwona na Hmaster aka Gaddafi!! Hebu m-PM H/master!
 
Nashukuru mkuu kwa msaada ila ndo karudi kapitiliza bafuni!!!!!!!!!!! Anadai katoka Loliondo kwa babu mi ntajua tu akimaliza kuoga! Si najua maufundi hupungua!
 
Msione kimya jamani nilikuwa na-update memory kidogo. Ila my wife hajachakachua kabisa ana nguvu ya kutosha
Halaaafu nimeota eti sisiemu wana katibu mpya! Ni Yhaya nini?
 
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
Wasalaaaaaaaam

mbona nachanganyikiwa hapa?! Yaani hiyo username yako Eeka Mangi ni kama jina la bint wa kichaga sasa inakuaje 'unamiss' D.A?halafu wamuita mke?!
 
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa ukubwa wake.
Mke wangu rudi nyumbani watoto wanakumiss sana hasa nyumbu na Zebra! Hawaachi kulia kila saa! Naambie la azizi wangu utarudi lini nikuandalie mapochopocho na nitawaalika sharubu na nguchiro.
Wasalaaaaaaaam
wewe eeka umeanza lini kupenda wake za watu?
 
Back
Top Bottom