cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
sawa baba nimesikia! Nitakaza uzi ikiwezekana wawe marais kabisa, lolest!usiwahurumie tu ukaishia hapo, wasomeshe mpaka elimu ya juu kabisa ili wafanye kazi ikulu, labda hili jogoo la kiume likiwaona litawaoa bila kuleta uzi hapa.