Demu wangu mpya anatema cheche

Kaka una spidi,only 4 months ukafunika gap?duh!

Kaka inabidi apate ushauri kutoka kwa Docter.hata hivyo hayo ni mambo madogo tu

Duh! kumbe na huku huwa unachungulia kupunguza stress?Maana jukwaa la siasa lataka moyo Mkuu
 
Duh! Hiyo ni double impact yani midomo yote inanuka? Ni noma.
 
pole san, ngoja wataalamu wakushauri kuhusu hayo matatizo, so far naona wadada wengi wanatoa solutions nzuri sana. Ila pls usije ukamuacha kwasababu ya hayo matatizo.
 
Mouth wash itamsaidia,kwapa asugue na limao na huko kwingne kuna dawa AI ER ni nzuri anaweza ipata kwa dola 35,inasaidia kusafsha na kuua bacteria wanaoleta magnjwa yote ya kina dada,inamfanya asiwe mkavu na kumfanya awe tight,akitumia matokeo ataona baada ya masaa 24
 
hahahahahahahahahahahahahahahahaha..................!
 
:becky::becky::becky: umenichekesha!! Pole, kwapa atumie ndimu kujisafisha, mdomo ajaribu bicabonate, huko kwingine matibabu ya hospitali
 

Ahahah we mkaleeee
 
Ila kuna watu wana tatizo kama hilo mh! Inawezekana
 
Ila jamaa inaonekana uliweka spea akaikumwaga tu unahamisha majeshi miezi 4 dah nouma snaa
 


Chafya za nini? kwan umekuwa beberu?
 
Apunguze kileo, mavyakula ya kukaanga yenye mafuta mengi. Atumie garlic kwa wingi. Anywe maji yaliyochanganywa na limao mara kwa mara. Afanye enema at least mata 3 au 4 kwa mwaka. Kwa mengi zaidi PM me
 
mi nlisuguaga halafu nkapata ambaye hawezi kupiga busu anaona aibu janaume zima nkaona bora nibaki jobless tu( enzi hizo lakin)
 
Kwani ilikuaje kuamua kuwa na mtu mwenye harufu kiasi hicho? au ndo ulikua na usongo sana?
 
Sasa hata kabla hujaamua kuwabae hamjawahi kukaa mahali?maan ile ta kuombana namba lengo mukutane tena na tena,kam umekosea unapoteza tu
 
Bujibuji, sijui niseme huna bahati au huwa unajipeleka kweye majanga...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…