Namba 26
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 309
- 917
Huyu demu simuelewi kila nikiwa nambandua analalamika jicho linamuwasha anataka nimkune ,nikamwambia twende hospitali ya macho tukacheki tatizo ananuna na akasema hanitaki tena kwa sababu sio muelewa.
Hivi kuwashwa jicho na mapenzi vinaingiliana vipi mbona tukiwa hatufanyi haumwagi mijicho yake?
Hivi kuwashwa jicho na mapenzi vinaingiliana vipi mbona tukiwa hatufanyi haumwagi mijicho yake?