Demu wangu kaniibia buku 5

Achane kucomment kipuuzi nyinyi mnaojiita GTs, Mtu mwenye tabia za udokozi siyo wa kutetewa hata siku moja.
Yaani kila mtu hapo anamponda mleta mada kana kwamba elfu tano siyo hela. Hata kama unazo za kutosha haimaanishi zichukuliwe bila ridhaa yako. Kwani angeomba siangepewa tu?

Msichana mdokozi hafai hata kuwa mke. mwenye uzi nadhani ni muda sasa wa kutafakari vizuri kwa kuwa umeshaona nature ya mtu uliyenaye kwenye mahusiano. Hao wanakukejeli achana nao wengi humu wanafuata mkumbo tu, yaani watu wa mwanzo wakidiss basi wanaofata wote wanakuwa na mwelekeo uleule. Pia wengi wao wanaangalia fulani kacomment nini ili nao waunge mkono.
 
Unalalamika nini hapo,,,,, umelala bure, papucci bure,, chakula bure na bado mishuzi umemtolea mtt wa watu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo buku5 ni ndogo sana coz umemtia hasara huyo mpnz wako....
 
asante mkuu
 
asante sana mkuu
 
Unalalamika nini hapo,,,,, umelala bure, papucci bure,, chakula bure na bado mishuzi umemtolea mtt wa watu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo buku5 ni ndogo sana coz umemtia hasara huyo mpnz wako....
tinna,kumbuka anapoishi na kula nagharamia mimi!!
 

itakuwa chuma ulete
 
Udokozi ni tabia mbaya sana. Haijalishi kiwango, after all anajua uwezo wako kifedha. Kwa nini asiombe??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…