Demu wa vibomu

Demu wa vibomu

hawafai unatoka na mtu unampatia kama elfu 40 hivi baada ya kuachana ndani ya lisaa moja unapokea sms baby simu yangu inashida nilisahau tu kukuonyesha pale naomba kesho nikanunue nyingine tena nitumie tigo pesa,ukituma tu utaona sms asante alafu nimeona rasta nzuri elifu 30 tu,jamani jamani jamani huu ni wizi!

Halafu havina aibu kabsa....
 
Sasa hvi tunatakiwa tuishi kwa akili na ujanja sana na hawa viumbe... KATA FUNIKA...... Fanya jitihada piga mara moja akianza kukuomba mpe ahadi hata ya siku mbili baada ya hapo weka blacklist........ Utaumizeje kichwa na mtu usiyemzaa??........

Mpaka upate wa kuoa unakuta una kosta nzima umejaza !!!! Kata funua kata funua
 
Wizi mtupu

Kuna siku miadi imepangwa kila kitu tuonane saa 1 jioni sasa sikuwa na uchawi wa miguu minne siku hyo si nikatoa taarifa kuwa nakuja nadaka daladala..
Conversation ikawa hivi..
Mimi: si umejiandaa
Yeye: ndio njoo
Mimi: poa nadaka daladala hapo chaap nafika
Yeye: heeh daladala tena??
Mimi: ndio, usafiri pancha na sina hela ya kufanyia service..
Yeye: heeh mi nilijua unakuja na gari, sasa na basi si nitakutesa mpaka huku.
Mimi: hamna siteseki nshaamua naja so usiwaze
Yeye: daah kama huna gari let's arrange another day sa hivi utachoka tu na jioni hii....
Mimi: (huku nsha mind) sasa anayechoka mimi au wewe?? Naja usiwaze
Yeye: aah nsha arrange ratiba nyingine
Mimi: kimya( mpaka leo miezi mi3 akinitafuta nipo busy tu na mimi)
Shida sana....
 
hapa raha tu shida kwenu... mwambie anunue lake
 
Honga usipende vya bure mtoto wa kiume

Kuhonga ndo uanaume wenyewe
 
Yaaaap weekend ndio hii hali ya hewa mwanana kabsa kimvua kwa mbaaaaali.....

Hebu tufunguke wanaume wenzangu ni mbinu gani unazotumia kumtoka demu wa vibomu baada ya kupiga hatua moja muhimu....
Maana kiukweli huwa wanakera!!! Mtu siku moja virungu 7 akiona hiki utasikia message baby naomba laki nna shida na hiki... Mara kaona hiki baby naomba hiki...ila ukiwa una shida wewe hata hakuiti baby wala cha mpenzi anakujibu makavu...
Unaweza mtumia message au kumpigia simu

Wewe: mambo mpenzi
Yeye: poa
Wewe: umeshindaje laazizi
Yeye: safi
Wewe: leo njoo mpenzi
Yeye: nitaangalia
Wewe: kuna zawadi yako
Yeye: waooooh sawa mpenzi laazizi mahabuba honey namalizia kitu hapa dakika 5 nmefika...

Hivi huwa mnawaepuka vipi hawa watu khaaa maana ni kero.....
Mimi ugonjwa wangu kuhonga
 
Honga usipende vya bure mtoto wa kiume

Kuhonga ndo uanaume wenyewe

Daaaah kaka kwa mtindo huu umasikini nje nje mtu haangalii hali halisi ye ni kukandamiza.....
Tutakua hatujengi mjini hapa.....
 
Serikali iongeze wigo wa mapato kwa kutoza kodi kwenye vibomu.
Kwa makadirio serikali watakusanya kiasi kinachofikia trilioni 1 kwenye mwaka huu wa fedha.
 
khaa mie nduki mbaaayaaa hata nyuma sigeuki.... mademu wa mizinga...
 
Honga usipende vya bure mtoto wa kiume

Kuhonga ndo uanaume wenyewe

sisemi wapewe bure Ila siku hizi wamezidi sana.... mizinga haishi mpaka mtu unaweza jikuta wavaa suruali kichwani kwa stress...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom