Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,218
- 12,753
Yaaaap weekend ndio hii hali ya hewa mwanana kabsa kimvua kwa mbaaaaali.....
Hebu tufunguke wanaume wenzangu ni mbinu gani unazotumia kumtoka demu wa vibomu baada ya kupiga hatua moja muhimu....
Maana kiukweli huwa wanakera!!! Mtu siku moja virungu 7 akiona hiki utasikia message baby naomba laki nna shida na hiki... Mara kaona hiki baby naomba hiki...ila ukiwa una shida wewe hata hakuiti baby wala cha mpenzi anakujibu makavu...
Unaweza mtumia message au kumpigia simu
Wewe: mambo mpenzi
Yeye: poa
Wewe: umeshindaje laazizi
Yeye: safi
Wewe: leo njoo mpenzi
Yeye: nitaangalia
Wewe: kuna zawadi yako
Yeye: waooooh sawa mpenzi laazizi mahabuba honey namalizia kitu hapa dakika 5 nmefika...
Hivi huwa mnawaepuka vipi hawa watu khaaa maana ni kero.....