Hahahahaaaa... Hatari sana... But true mkuuUsitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Muonane ana kwa ana kama gubegube utajuajeEty wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi ina-makesense hapo..?
Uzi tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Yana sababisha kama yaliyotokea kwa cutielove na mwenzake sijui nani yuleUsitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh. Kamkubali mtu kuja anaona kabisa hapa siwezi kukaa. Wanaanza kuja kuanikana sasaYana sababisha kama yaliyotokea kwa cutielove na mwenzake sijui nani yule
samsung galaxy na hizo iphone photo inatoka bombaa sanaEeeh. Kamkubali mtu kuja anaona kabisa hapa siwezi kukaa. Wanaanza kuja kuanikana sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni demiss, mtongoze tu hata bila kumuona, ni vizuri zaidi. Face to face utaishia kumwomba namba ya simu tu.Ety wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi ina-makesense hapo..?
Uzi tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hata huyu mtongozee hapa hapa usisubiri kumuona, ni kitu safi Hii.trust me.Usitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitongoze kabla hamjaonana. Onana nae kwanza jiridhishe ndio umwage sera. Haya mambo ya kutongoza wakati hamjaonana ndio yanasababisha mkimbiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamtu kana sura personal wakati avatar kajiweka handsome/mremboUnakutana na kamtu private [emoji23][emoji23]