Demu wa Diamond Zari ana watoto watatu

Demu wa Diamond Zari ana watoto watatu

Status
Not open for further replies.

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Jana niliona kwenye Citizen news sikuamini, sasa jamaa kamuacha Wema na kumfuata mama ama vipi ni mapenzi tu.

zari.jpg
 
Nafikiri haya ni maisha binafsi ya mtu...Achana na maisha ya watu, fikiria ya kwako kwanza...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona tunafahamu siku nyingi.......wewe ndio umejua jana..........?......
 
Utakua masikini wa mawazo!!kwa kufuatilia life za watu.uswahili ndio unaokusumbua
 
Umepigwa panchi za KQ unakimbilia Zari!
 
Hahhhahhh.....! ni muda mrefu sana tangu tutambue hilo....

Unashangaza kweliiiii.
 
Huyo zari pamoja na watoto 3 anafanana hata na demu wako wa miaka 18 anayeungua na jua kuuza mkaa hapo Nairobi???????? Mwanamke pesa ikiwepo na akatunzika hata awe na watoto 10 bado atakuwa mnato.
 
Mbona tunafahamu siku nyingi.......wewe ndio umejua jana..........?......

Wakenya wanatamani kuona Diamond platnumz akidate Vera Sindika......!

😷😷😷😷.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom