demu nimemtosa.....lakini!!

Kakakiiza, nyie ndo wabinafsi ...kwa nini umharibie ? Ulipata nini? Kwa kuwa hutaki hutaki kutumia sukari ndo uimwagie mafuta ya taa ili isitumike?
Ungemmega alafu ukasepa. Akale wapi? akaolewe na nani? Badilika Bwana!
 
Jamani ukimtenda mpenzi wako na ukaona amekaa kimya usifikiri kuwa umepata boya la kuchezea..

Kweli ukiona mpenzi wako yupo kimya jiulize sana maswali hakuna anayependa kuwa mbali kimawasiliano na mpenzi wake....ukiona hivyo ni dalili za kibuti cha kimya kimya
 
Kakakiiza, nyie ndo wabinafsi ...kwa nini umharibie ? Ulipata nini? Kwa kuwa hutaki hutaki kutumia sukari ndo uimwagie mafuta ya taa ili isitumike?
Ungemmega alafu ukasepa. Akale wapi? akaolewe na nani? Badilika Bwana!

Dawa ya anayemwaga mboga wewe kata kipande cha Ugali then kajaga ule ugali uliobaki
 
dah! hapa inaonekana kuku kapanda baskeli bata kavaa raizoni!

will b bek, acha nikachukue brif kesi langu la ushauri, stey chuned
 
Dah! Mwanangu ummetumia busara kweli.
Kibuti cha kimya kimya huwa kinawauma sana hasa vicheche.
Mimi kuna mmoja alikuwa ana mipango hiyo hiyo, mara tukiwa naye mtu anampigia simu naye bila aibu eti anapokea na anaongea na njemba mbele yangu,,, nilichofanya hata sikumuuliza huyo ni nani uliyekuwa unaongea naye. Tulimaliza mambo yetu na tukaagana kwa amani tu. Ikatokea kila akipiga simu tukutane nampa visingizio kibaao mradi tusikutane.. Alivyokuja kugundua kuwa mwenzake sina habari naye tena eti anakuja kunambia nikimhitaji wakati wowote nisisite kumtafuta eti bado ananipenda! Siku hizi huwa tunawasiliana kama marafiki tu. Mpaka leo ananiomba nimwambie sababu ya kutokutaka mahusiano naye, eti moyo unamuuma...

Jamani ukimtenda mpenzi wako na ukaona amekaa kimya usifikiri kuwa umepata boya la kuchezea..

Tatizo ukiwaonyeshea upendo wao wanaona wamekutite uwezi kufurukuta!!
 
Da!Kaz kweli kweli yaan wanatupanga kama matofali. Kuwa na mpenzi asiye mwaminifu is simply wastage of time japo hilo suala la kumuharibia kwa jamaa mwingine siliungi mkono nadhani ni hasira tu zilimpanda KK
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom