Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

Usipoangalia utauziwa mbuzi kwenye gunia kwani hayo mambo ya kusubira yapo kweli siku hizi sidhani lazima utest kwanza mzigo kama unalipa au laah ha ha ha ha

Ndio nashangaa watu wanavyomshauri asubirie lol....
 
Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.


Wewe mtoto wa kiume bana kwa nini uzinguliwe bila mpango??Alishawahi kutoa ndogo sasa wewe ndio anataka asikupe mpaka umuoe naona kachoka kutoa sasa anatafuta wa kukaa nae...Kama vipi tambaa tafuta mwingine wapo wengi tu wanawake kwa nini ukae usubirie eti mwaka mzima hujamlamba??Hapana anaweza akawa anampa mtu mwingine huko shuleni si unajuwa madent walivyo??So shtuka mapema!
 
Sioni yeye kukutokea na kukataa kuhusiana kimwili kwa sasa vinaingiliana vipi!!
Kama unampenda kweli msubirie..anasababu zake..either hataki kuchezewa bila uhakika wa kuwekwa ndani au anataka kukuuzia kondoo kweny gunia!

Mpaka sasa ni mwaka mzima sasa jamaa aendelee kusubiria mpaka lini??Basi demu atakuwa ana megwa huko shule na mtu mwingine la sivyo angeshatoa ndogo!
 
Anadai ni kwa kuwa amenipenda na alitamani sana kuishi nami baadae, sio kwa kuwa alikuwa na tamaa. Niko kwenye dilemma anaweza kuwa ameficha kweli mbuzi kwenye gunia au basi yuko genuine. But she is very religious may be ndiyo sababu, au ni pretence tu!

Lakini una hakika nae kwa 100% huko shule hamegwi??Kuwa makini aisee mwaka mmoja sio mdogo eti usubirie tu
 
Hainipi huyo anakubania kwa nini? bora angekuwa bikira angeeleweka. mweleze unavyojisikia kwa undani na uonyeshe hisia kabisa. anaogopa ku take risk tena kama alivyofanyiwa kabla kama sivyo amekuweka akiba yeye anaendelea kufanya tu na wengine

Hahahaha kumbe na wewe unajuwa au sio??Hiyo ndio hali halisi ninavyoona na sio vingine
 
Akuruhusu ukachakachue hivi mambo ya kusubiri harusi bado yapo tu? basi fanya haraka muoane kama imeshindikana kusubiri

Bado yapo naona......ila mda mrefu sana kwangu haijanitokea so nikajuwa yamekwisha tayari!
 
Back
Top Bottom