Demu kama huyu nimfanyaje

Hv kumbe wewe ndiye unamuhonga demu wangu.
Thanks pal.
Nilihisi utakuwa member wa JF.
KaBoooom! Hahahhaha.
Nasubiria uanze kumbembeleza na kutuma zawadi za kuomba msamaha.
Keep em flowing brother.

Just Joking.


Fanya maamuzi magumu.
Usimuongeleshe, usipokee wala kujibu simu au text.
Tafuta binti mwingine wa kuwekeza future yako.
 
She is bullshitting!
Option 1: achana nae. (Kama unaweza)
Au
Option 2: chunguza sababu, halafu fanya maamuzi.
 
Nani kasema mm mwanafunzi
Ss wanaume kuna wakati akili zetu huwa hatuzishughulishi.
Swali.
1. Mshawahi kupima Ukimwi?
Usipende kulazimisha mambo, huenda huyo mtu wako kuna kitu anakuepusha lbda ni muathirika kwahiyo anajihisi uchungu au huruma kutokukuambukiza ukimwi. Kwa vile ww ni king'ang'anizi utapewa kweli.
Usitumie hasira wala nguvu, mdadisi taratibu na umuulize kwa upole kuhusu kutokunyima penzi.
Ukiona majibu ndiyo hayo hayo mkapime ukimwi, majibu yakiwa safi ukatoe mahari na process za ndoa zianze.
Mkapime ukimwi kwanza na siyo kung'ang'ania penzi, ukiambukizwa unaanza kulaumu watu wakati makosa umeyafanya ww
 
ndio maana unaambiwa unawaza ngono, mbona wanaume wenzako una uhusiano nao wa kirafiki na hamfanyi ngono. Tulia dogo piga kitabu kwanza ukikua na kukamata mkwanja watakuvulia kufuri bila hata kuongea inatokea tu automatikare
ushauri wa kifala kwan wanaume wenzake aliwatongoza au???kwa hiyo unataka aishi na dem wake kama anavoishi na masela zake???
 
Tulia kijana.
Mwanamke imara hajilengeshi
 
ushauri wa kifala kwan wanaume wenzake aliwatongoza au???kwa hiyo unataka aishi na dem wake kama anavoishi na masela zake???
Dogo mbona unatukana nitakupiga BAN miezi mitatu
 
William unapoingia kwenye mahusiano jua nini unataka.

1.kama una fyucha nae huyo binti haina haja ya kuhangaika na kugombana kisa hakupi mambo, ongeza upendo, fanya kazi kwa bidii muweke karibu then ataelewa anaweza kukupa hata kabla ya huko fyucha kufika. Zingatia umri na tabia yake.

2. Kama huna fyucha nae ulikuwa unataka pa kupumzika tuu,basi chapa lapa kashakustukia,kubali kuwa alikuzidi ujanja tafuta demu mwingine, na hakuna msamaha achana nae,jitoe huruma na jisahaulishe mazoea uliyokua nayo kwake.Mwaka mmoja ni mwingi sana.

Umri wake ni miaka mingapi?

Waasallam
 
Kaka umeongea fact
 
Nadhan saiv ana 25
 
Shukran bro kwa ushauri wako
 
Kata pochi akupe penzi hauna kula uchochoro utafanyiwa ushenzi kila siku mgogoro pigana na hela kisela maneno sio bunduki
 
Kwa hiyoo kama kuna anaeaminii anampendaa anavuaa tuu..!!?? Huyo afu ukute si bikraaa.. me manzi wa hivyoo aendee tuu.. Sio dada anguu yeye....
 
Nadhan saiv ana 25

Kwa umri huo bado huwa wanaaminigi wana soko so atakusumbua sana, kama endapo ulipanga "ugonge" tuu na kuwa nae kusogeza siku basi itakua ngumu sana, umeshatumia muda mwingi sana.

Huu ni muda ambao anatafuta soul mate na anawaza kweli fyucha,kama umejaaliwa uongo basi promise hata vilivyo nje ya uwezo wako ili utimize lengo lako ( Sishauri iwe hivyo)

Wassalam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…