Demu hataki tutabaruku kwenye mwanga

Demu hataki tutabaruku kwenye mwanga

Anadai anaona soni

Anataka taa zote za humu chumbani eti zizimwe

Ndio, zizimwe kabisa, tubaki kwenye giza tii ndo yeye avue nguo[emoji15]

Yani hata TV izimwe maana na yenyewe ina mwanga, na yeye hautaki

Wakuu hii maana yale nini? maana namimi sielewielewi hapa[emoji56][emoji56]
Angalia isije ikawa demu wako ni shoga
 
Mtoe hofu kwamba hata kama kakeketwa ww haitopunguza upendo wako kwake.
Mwambie na umuhakikishie kwamba unampenda sana licha ya mapingufu hayo ambayo hakuzaliwa nayo.....ajiamini.
 
😂😂😂😂😂😂 ila misamiati mingine bana... Et tutabaruku
 
Nadhani hata kwa kumshikashika vzuri unaweza gundua tu kama Ngozi inavipele, imerojeka kama ya Mbibi nk. Ila mpe muda hiyo tabia ikiendelea anza kumtaka mkutane mchana tu na akikataa mpe kibuti usikute unakula mzigo wa Mbwa na hujui tu vibinti vya sasa vichawi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom