Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Aug 15, 2011 #41 Muuza Sura said: nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo.... Click to expand... Acha janja ya sungura ya sizitaki mbichi hizo!! Maneno yako ni ya mkoswaji tu.
Muuza Sura said: nimemind sana mtoto mkali ananitabasamia halafu rafiki baya limenibania linamwambia aachane na mimi halafu limeniangalia kwa pozi!hivi ni kweli midemu mibaya inaringa au ni wivu tu kwasababu hawatokewi?nimemind sana leo.... Click to expand... Acha janja ya sungura ya sizitaki mbichi hizo!! Maneno yako ni ya mkoswaji tu.
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Aug 15, 2011 #42 Mkuu Muuza Sura! Isije kuwa una sura mbaya kama yule Waziri Tai usoni. Afu unatutisha kwa maandishi hapa ilhali sura haitengenezeki...!
Mkuu Muuza Sura! Isije kuwa una sura mbaya kama yule Waziri Tai usoni. Afu unatutisha kwa maandishi hapa ilhali sura haitengenezeki...!