Demu anataka kutoroka kwao aje hostel kuishi na mimi

pitia hii comment hapa tafuta uzi unaosema kugongewa wake au wapenzi ndio utaelewa , kwa mawazo yenu mnadhani nikimuacha mpaka ndoa demu atakaa tu hivi hivi
IMG_20190401_193339.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na unajua nn? cheza part kama ungekuwa baba wa huyo binti ungefurahishwa na binti yako atoweke pasipo julikana, kama kweli ww mwanaume wa kweli na una mapenzi ya dhati usiruhusu upumbavu huo, unatakiwa uongee nae ajue ww haupo naye kumchezea na umuonye/mfundishe binti mwenye nidhamu na anaye waheshimu wazazi wake hapaswi kufanya upumbavu huo ni utovu wa nidhamu.
Na ww chekelea kugonya mbunye itakughalimu baadae.

WhatsAppStory%2B7cbe89ac-c.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri umkataze kabisa na usikubali aje, akili zake bado ndogo ambapo baadae hata wewe unaweza kumuacha vibaya.

Imagine umesikia mdogo wako wa kike katoroka kaja kwangu
Ni wazo ambalo nataka ulifikirie na wewe
Wazazi wake watapata mshtuko wa aje na je unajua jambo la kwanza wakimkosa wataenda police?
Yaani nimewaza mengi sana
Nakushauri uachane nako tu na uendelee na unachofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na unajua nn? cheza part kama ungekuwa baba wa huyo binti ungefurahishwa na binti yako atoweke pasipo julikana, kama kweli ww mwanaume wa kweli na una mapenzi ya dhati usiruhusu upumbavu huo, unatakiwa uongee nae ajue ww haupo naye kumchezea na umuonye/mfundishe binti mwenye nidhamu na anaye waheshimu wazazi wake hapaswi kufanya upumbavu huo ni utovu wa nidhamu.
Na ww chekelea kugonya mbunye itakughalimu baadae.

View attachment 1060283

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani wewe ungekua mzazi ungekubali mtoto wako aliwe but at some point itabidi aliwe tu , usitake kusema wew haujawai kula mtoto wa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah demu anashangaa sana kwanin nachukua muda mlefu kutoa jibu, ameshaniambia anayonauli ya kuja huku ni mimi nimpatie ruhusa, lakini swala la yeye kutoroka home kwao linaniumiza kichwa ukizingatia ni binti mdogo tu sijui hata kama anafikisha miaka 19 , dhambi ya kumuharibu mtoto wa watu sitaki inipate kikombe hiki kiniepuke, tatizo ni wazazi wake wakinikamata pia huyu mtoto yuko kwenye foolish age ana high expectation kwangu wakati me napiga mechi za kirafiki, and you know something iam a good dude japokua nakula hapo ila sitaki kum demage mtoto wa watu jambo lingine swala la yeye kutoroka home anapata wapi huu ujasiri mtoto mdogo kama huyu vichwa viwili vinapingana kwa sasa bado sijapata jibu sahihi.

UPDATE
namaanisha kwamba anataka kuja kukaa kwa sometime yeye anasema atajua atakavyoondoka na kurudi home swala hilo nimuachie yeye we are on different region so she has to take the bus the thing that iam afraiding , what if something happens on her way here, it is very risky.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutak kumharibu kwann ulimtongoza?? Tuanzie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaa Ujinga eti atoroke aje kuishi kwako????[emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Wee jamaa utapelekwa polisi ikutoke hela flani nzurii tuu hutasahauuu... Kama ni muislam ndo ujue utaoa bila kupenda... Mwambie awe anatokea kwaooo ishu ya kuhamia hapo yeye ni adolescent inamsumbua sasa wewe ukimkubalia na wewe mnakuwa akili mojaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo viumbe wanaoitwa wanawake ni wa ajabu kidogo. Huwa wakipenda wanaingia wazima wazima. Usimruhusu hata kidogo. Mwambie na wewe bado unasoma. Mm nlikuwa B3 Wangu nimeanza kumla akiwa na 18yrs, na mm nikiwa na 37yrs, huwezi amini aliforce kuolewa na mm. Nashukuru Mungu nimemacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah demu anashangaa sana kwanin nachukua muda mlefu kutoa jibu, ameshaniambia anayonauli ya kuja huku ni mimi nimpatie ruhusa, lakini swala la yeye kutoroka home kwao linaniumiza kichwa ukizingatia ni binti mdogo tu sijui hata kama anafikisha miaka 19 , dhambi ya kumuharibu mtoto wa watu sitaki inipate kikombe hiki kiniepuke, tatizo ni wazazi wake wakinikamata pia huyu mtoto yuko kwenye foolish age ana high expectation kwangu wakati me napiga mechi za kirafiki, and you know something iam a good dude japokua nakula hapo ila sitaki kum demage mtoto wa watu jambo lingine swala la yeye kutoroka home anapata wapi huu ujasiri mtoto mdogo kama huyu vichwa viwili vinapingana kwa sasa bado sijapata jibu sahihi.

UPDATE
namaanisha kwamba anataka kuja kukaa kwa sometime yeye anasema atajua atakavyoondoka na kurudi home swala hilo nimuachie yeye we are on different region so she has to take the bus the thing that iam afraiding , what if something happens on her way here, it is very risky.

Sent using Jamii Forums mobile app
Think twice🤗🤗🤗akija fia Geto ...itakuwaje????
 
Achaa Ujinga eti atoroke aje kuishi kwako????[emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Wee jamaa utapelekwa polisi ikutoke hela flani nzurii tuu hutasahauuu... Kama ni muislam ndo ujue utaoa bila kupenda... Mwambie awe anatokea kwaooo ishu ya kuhamia hapo yeye ni adolescent inamsumbua sasa wewe ukimkubalia na wewe mnakuwa akili mojaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwangu man me nipo chuo so tuko mikoa tofauti inabidi kusafiri na kulala huku hostel kwa time yote atakayokuwa hapa, tatizo ni kwamba anaondoka na kurudi vipi? yeye anasema leave it to me , iam really very concerned

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujana ndio uko hivyo,nasi tulipitia huko....fanya maamuzi kwako utakayoyaona ni sahihi.
 
sio kwangu man me nipo chuo so tuko mikoa tofauti inabidi kusafiri na kulala huku hostel kwa time yote atakayokuwa hapa, tatizo ni kwamba anaondoka na kurudi vipi? yeye anasema leave it to me , iam really very concerned

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe upo hostel?????? Yani unataka uishi nae huyo demu wako hostel???? au hostel zenu chumba kimoja mtu mmoja??? Ishu ya kuondoka na kurudi ndo itakuponza kuna Wazee mafia aiseee... Polisi inakuitaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me alitoroka akaja kukaa kwangu na hapo alitoroka kwa cster akee sio kutokea kwao... Balaa lakee aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Polisi walinipiga pesa kizembee lakini sikuwa na namnaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom