Demu ananiomba anilalie zipuni!!

Hapo huwa wanaleta madaftari ya kujisomea menyu?
Mie nataka sehemu ambayo naambiwa kuna supu kuku, wali ng'ombe, ugali mbuzi choma.

Haya ya Marinated chicken breast nodules with butter naan siyataki.

Lunch leo nataka nikupeleke sehemu ya ukweli...Nitakupitia twende zetu Joly...wana yama ya mbuzi ya ukweli.
Jion ndio utakula maziwa ya kuku!!
 
Naombeni mnifundishe neno zuri lakumwambia ili tushuke TINDE nipige mzigo mpaka bujee!!
Maana anazidisha dharau sasa,yani ananiambia mkojo umembana tukifika dom cha kwanza toilet?

mkuu hebu niambie anaupara kichwani??
Kwasababu waliotoka Moshi juzi wanaupara mkuu!
 
Hapo huwa wanaleta madaftari ya kujisomea menyu?
Mie nataka sehemu ambayo naambiwa kuna supu kuku, wali ng'ombe, ugali mbuzi choma.

Haya ya Marinated chicken breast nodules with butter naan siyataki.
hahaah...basi twende zetu koko bichi tukale mihogo na Azam cola...kama nayo huwezi nikupeleke posta kwa mama Koku!!
 
poa mwana jf

kama anataka mwambie akupe ka kiisilamu.sio kakikrsto kama mweli anataka kukulalia kweli.
 
poa mwana jf

kama anataka mwambie akupe ka kiisilamu.sio kakikrsto kama mweli anataka kukulalia kweli.
Ndio style gani hizo mkuu?
Maana naona kazidiwa na usingizi kweli na mimi huruma imeanza kuniingia!
 
Stori ya kupika hii .. au kaa ni kweli hiyo ngoma yenyee hailipi. Ngoma ingekua inalipa aargghh wala usingepata nguvu ya kuleta umbea JF, ungekuwa bize mbaya..ha haa
 
Ndio style gani hizo mkuu?
Maana naona kazidiwa na usingizi kweli na mimi huruma imeanza kuniingia!

kaka haya mambo bor ungetupa data baadaya kupiga mzigo coz tunadata zote muhimu mda huu upo maeneo ya dodoma unaelekea mwanza na mje wa mtu ndani ya zuberi af mbay zaidi ni mjeda....unauhakika gani mme wake hasomi hizi thread af ndo katoka kumuaga mkewake ubungo...jichunge kaka ukitaka kuwa mwizi uwe na kumbukumbu usije subiriwa mwanza bure n shem
 
Mkuu tafakari, chukua hatua. Kuna Jamaa tena mwenye hadhi kubwa tu katika jamii, aliingizwa matatani. Alienda na mke wa mtu hotelini, kumbe mume kapanga na mke wake jinsi ya kupata pesa. Baada ya kuingia ndania na mwenye mke kufahamu kuwa wako katika maandalizi ya mechi lakini hawajaanza, jamaa kagonga mlango na marafiki zake mabaunsa. Wakataka kumla Kiboga wakati wakichukua picha. Pesa yake ndio ilimuokoa. Sasa na wewe kuwa makini, huenda mume wa huyo msafiri mwenzio yuko humo anachora kila kitu. Watu wenyewe wa Musoma !!! Weeeee, kama utalala naye Mwanza, piga simu sasa hivi Bugando wakuwekee chumba cha kupumzika baada ya kupigwa mapanga usiku.

dah!yan nimecheka
 
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?

Kama utamkatalia futa ID yako ya Mandieta kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh!
 
naona umeamua kula vya wngineo.............lakini usichojua ni kwa ujira upi.............lazima utavuna utakachpanda hakuna jingine hapo........
 
Back
Top Bottom