Demu alivyonigomea kabisa kuwasha taa!

Vipele au mapele ukishaona mtu hataki kuwasha taa jua kuna tatizo..kama mwanamke basi mwili wake una kasoro sehem na kama mwanaume basi ni govi
 
Ama kweli ujana ni maji ya moto. Siku moja katika pita pita za nguvu, nikaopoa demu. Mtoto alikuwa mkali. Kiuno kama chote. Basi baada ya bia mbili tatu demu akakubali kwenda kulala.

Baada ya kufika gheto tumekaa kidogo demu akaenda akazima taa. Kumuuliza kulikoni akasema hawezi kufanya mapenzi taa inawaka. Mhh. Nikaguna nikasema hapa kuna jambo. Nikaamka nikaenda nikawasha taa mwenyewe.

Demu akamind akasema hayo ndio masharti yake. Akaamka tena akaenda kuwasha taa. Akakatalia kwenye switch. Basi nikanyanyuka nikaenda pale alipokuwa amesimama. Nikapitisha mkono kwenye sketi. Nilichokutana nacho. Mungu anajua. Demu alikuwa amejaa vipele kwenye matako. Demu alikuwa tayari kufanya chochote lakini hukutaka taa kabisa.

Nikamwambia kama hataki kuwasha taa basi. Na mimi gizani. Demu akagoma kabisa. Nikaona hapa nitajaza watu. Nikasepa nikamuacha ndani.

Ukweli ni kwamba siku hiyo nilikuwa nimeshiba. Ningekuwa na ugwadu sana labda ningefumua.!
Mechi za mchana hachezi?
 
Mungu anakupenda mkuu,mi mchepuko wangu huwa ni pombe tu ninapokuwa mbali na bi mkubwa;ukifikiria sana tendo la dk 5 ni majuto maisha yako yote,why?
 
Back
Top Bottom