interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Kuna mmoja ambaye nilimtoa usichana wake nikapita nae mara nyingi sana.. Kutokana na makosa yangu mwenyewe akataka kuondoka daaah nilimzuia sana..
Kuna hiki kitu nilikuwa najiona mkosaji yani, nilijuta hata kwanini niliitoa.mpaka leo mimi na wanawake wasioguswa tuko tofauti sana.bora niachane na mtu nikiwa sijapita nae kuliko aone nimemtumia na kumtema, inaumiza.
Yaani jana vijana wamefanya vyema sana.
Tunasubiri kujua tunapangwa na nani.
Sawa sawa Chifu, kila la heri ktk droo ili usonge mbele zaidi Kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tusubiri tuone maana timu yetu imekuwa kimeo tangu Mourinho atue Starmford bridge haijawahi kuwa mbovu kiasi hiki.Shukrani mkuu, na nyie leo kama mnakamilisha ratiba tu, maana najua jamaa hawawezi kupindua.
[emoji1][emoji1][emoji1] ni kweli kabisa.Acha uongo [emoji3][emoji3]
Wengine ni vice versa, mpaka niamue kutembea na mwanamke ni kwamba nimejitoa, she deserves.
Akija kuondoka hata kama nimefanya naye mara 100 itaniuma sana.
Ila anayeniacha, au tunayeachana kabla huwa ninakuwa naye peace tu.
Najaribu kuwaza kipindi kile najiunga JF niko 23 huko, ndivyo hivi vitu - threads/comments - nilikuwa naandika au watoto wa siku hizi tu akili zao zimefubaa!????
We nimekuelewa
MTC | 101| [emoji769]
Kuna ile hali inakuja kwamba mtu anafaidi the same way ulivyokuwa unafaidi!
Na kuna vitoto vingine unaona kabisa kimeumia kutoka moyoni, bora hata wahenga mnaingia kazini kila mmoja anajua ni mechi tu ambayo haina guarantee ya kurudiwa.
Hahahaha, Mkuu nazidi kukuelewa sana yote usimaye ,niko na wewe ktk mtazamo na msimamo wako huu
Halafu kumbe na wewe ni Liverpool safi Sana, karibu Katanga tufurahie ushindi
MTC | 101| [emoji769]
Shukrani mkuu, jana jamaa wamefanya vizuri sana. Maana ingekuwa aibu Man Utd anapita sisi tunabaki!
Canal + Sports 1 inarudiwa mechi naona Bayern wanarudia makosa yale yale
MTC | 101| [emoji769]
Mchukue rafiki yake mchana kweupe.habari wakuu
Hivi kwa nini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sipati presha ,sababu sipendi ni linyota Tu , yani apo kwenye UKIMWI labda tho najitahid umakiniUkifilisika, kupatwa na mikosi, kukumbwa na zinaa pa1 na magonjwa makubwa makubwa kama UKIMWI na presha, naomba utuletee majibu ya kuwa na bahati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jamani lohAiseee...kumbe umeamua kuja kunisemea huku mtoto mzuri? Chonde chonde usinirushe roho hadi nikajikuta niko kusikojulikana kwa presha mrembo[emoji87][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mzima haki [emoji16][emoji16]
Wewe sio mzima haki [emoji16][emoji16]
Haya yaishe. Uwe na usiku mwema