kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,319 Reaction score 13,385 Jul 1, 2020 #21 Sky Eclat said: View attachment 1483860 Click to expand... Ahahahaaaa hapo mtu ambae angechukua hata kabla ya jiwe alikuwa Membe tu,ndio mana jamaa akaogopa,hao wengine wote wana roho ya kunguru
Sky Eclat said: View attachment 1483860 Click to expand... Ahahahaaaa hapo mtu ambae angechukua hata kabla ya jiwe alikuwa Membe tu,ndio mana jamaa akaogopa,hao wengine wote wana roho ya kunguru
M Mwamalili JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 1,125 Reaction score 1,384 Jul 1, 2020 #22 Azarel said: Hatari sana, wanaogopa hata kuchukua form...kila mmoja anahofu kwa bahati mbaya akija kuukosa urais na Magufuli akapita basi atakiona. Unajaribu kushindana na yesu? Click to expand... Yesu wa kijani?
Azarel said: Hatari sana, wanaogopa hata kuchukua form...kila mmoja anahofu kwa bahati mbaya akija kuukosa urais na Magufuli akapita basi atakiona. Unajaribu kushindana na yesu? Click to expand... Yesu wa kijani?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 39,990 Reaction score 51,098 Jul 1, 2020 #23 Propaganda za upinzani hazitafua dafu uhalisia kuwa kinachoendelea sasa ni utamaduni ambao kimantiki unafaa kuendelea kwani unakiweka chama na mgombea wake katika nafasi nzuri zaidi ya ushindi.
Propaganda za upinzani hazitafua dafu uhalisia kuwa kinachoendelea sasa ni utamaduni ambao kimantiki unafaa kuendelea kwani unakiweka chama na mgombea wake katika nafasi nzuri zaidi ya ushindi.