TE="chipolopolo 2, post: 15556582, member: 258327"]Demokrasia ipi unayozungumzia haswa , je chama chako Kinafata demokrasia . Nianze na mifano michache swala la umeya Tanga ,Dar na morogoro ni demokrasia ipi mmetumia tatizo hapo Lumumba mmezidi kukurupuka . Kwa hiyo zile kura za ndio/ hapana kule Bungeni hazifati demokrasia? Toa borit kwenye jicho lako ndo utoe kitanzi kwenye jicho la mwenzako.[/QUOTE]
Wahenga wanasema 'two wrongs don't make it right'. Ni bora chadema wasifuate upungufu wa ccm kwa sababu watashindwa
kujitofautisha na ubovu wa watani wao mbele ya wananchi. Pia chadema wasisahau sababu kubwa iliyosababisha wakasusa bunge maalum la katiba na kuzaliwa ukawa. Walipinga kufanya maamuzi mazito kwa kunyoosha mikono. Sasa kulikoni au ni mkuki kwa nguruwe.