Demokrasia ndani ya CHADEMA inafutika polepole

KWANI BADO KUNA CHAMA KINAITWA CHADEMA SIKU HIZIII? MBONA SIKISIKIII!!!!! JAMANIII KIPO KWELI???
CHADEMA ipo sana ila mambo yakiwa magumu huwa inavaa ngozi ya UKAWA kujikinga!

Mambo yakiwa mazuri huwa inaibuka na kujivua ngozi ya UKAWA.

Siasa ni sayansi!
 
HAHAHahaaaaaaaaaa kumbe ndio maji kupwa na kujaa! nimekupata MKUU!
 
Haujui kama hivi chadema imeshikilia majiji hapa TZ!?!? Unataka uisikie wapi zaidi ya hapo!?
 
Kwani mkuu mbona ndugai na genge lake wanafanya hivyo bungeni na mambo ya kitaifa yanapitishwa? Au ccm ni kuku na chadema ni bata yeye huwa anaarisha tu Wakati wote?
Kwa hiyo kwa sasa CHADEMA wameamua kufanya kama afanyavyo ndugai na genge lake!

Hata Ndugai na genge lake wanafanya kwa mujibu wa Kanuni za Bunge.

Wanachofanya viongozi wakuu wa CHADEMA hakipo kwenye kanuni za chama na pia historia inaonyesha makatibu Wakuu walitangulia walipigiwa kura ya siri
 
mtatiana viddole kwa sana mwaka huu[emoji123]
MAJINA YA MIFUKONI, KURA WANAOSEMA NDIO, NA WANAOSEMA HAPANA , KWA KUNYOOOSHA VIDOLE JUU, KAMA KWENYE TAARABU, WALIOSEMA NDIO WAMESHINDA; UFISADI NA RUSHWA MWENYEKITI KAKILI NDIO CHAMA MLICHO NACHO, MNA MIAKA MINGI SANAAAA YA KUJIPANGA NYIE!
 
Ilianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.

Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.

Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!

Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.

Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.

Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.

Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.

unataka tuamini kuwa ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia, hii inawezekana ikawa ni kweli demokrasia haipo. lakini jiulize wakati wa kumchagua Magufuli kuwa mgombea urais wa tiketi ya ccm demokrasia ilifuatwa?
 
Ilianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.

Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.

Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!

Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.

Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.

Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.

Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.
Binafsi sidhani kama democracy ni kipimo sahihi cha ubora, bali humaliza mabishano/mvutano, na hata ikitokea democracy ikatupa product nzuri ni by coincidence!!!
 
Mgombea Urais, Mgonbea Mwenza,mgombea Uspika na sasa Katibu Mkuu wameteuliwa nje ya safu ya viongoz waliopo kwa kuwa waliopo hawatoshi.Hongera Mbowe kujitambua hilo
 
Ilianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.

Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.

Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!

Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.

Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.

Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.

Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.
Chadema huwa naifananisha na kitabu cha "A man of the people" lakini ukisoma ndani ni tofauti na title. Kwa maana hiyo ukiingia ndani ya cdm ndo utaifahamu ilivyo kwani wengi wanaona ni chama kizuri wakiwa nje.
 
Daaah kaka kwa hiyo wewe katika Mkutano wote umeona cha kunyoosha Mikono tu?Vipi Katibu Mkuu unamuonaje?
Mimi sina tatizo na Katibu Mkuu mpya kwa sababu simfahamu sana!

Hoja yangu ni aina ya demokrasia inayoanza kuchepuka ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake na kama wanachama hawataizuia hii demokrasia mpya itakuwa inajenga precedence katika chaguzi zingine.

Kuna hatari kesho wanachama hawatapewa hata hiyo nafasi ya kunyosha mikono juu!
 
Ilianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.

Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.

Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!

Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.

Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.

Kilichofanyika ni sawa na making important decisions under duress na hii katika macho ya sheria ni void.

Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.

Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.
Mbona hamtuambii Kinana alipatikana vipi
 
Back
Top Bottom