Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli.

Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo

Mama anaajiri, anapandisha mishahra, aliondoa retention fee ya helslb, biabisha na uwekezaji viko juu.

Asante mama
asante mkuu. kuna watu hawataki kuskia haya uliyoyasema. wao wanataka useme mama hajafanyakitu toka awaemadarakani. Mwanzo mwa uongozi wake wapinzani wake walisema amesusa miradi ya mtangulizi wake. wakasema ameondoa elimu bure mashuleni. yaani hawataki kuskia unasema jema lolote la huyu mama wanataka wote tuimbe mabadiliko ya uchaguzi ili wapate vyeo .
 
Back
Top Bottom