Demokrasia ipo juu sana tanzani. Hongera mama. Jpm aliogoa sana demokrasi kwa kuw hakujiamini.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,010
Reaction score
4,495
Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli.

Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo

Mama anaajiri, anapandisha mishahra, aliondoa retention fee ya helslb, biabisha na uwekezaji viko juu.

Asante mama
 
Mwasi ni jpm. Mama anaendeleza tu alipoishia jpm
 
JPM ni shujaa kwa wengi ,si vema akachafuliwa na ikumbukwe kila kiongozi ana falsafa yake ya uongozi katika mtazamo uleule wa kulinda katiba.
 
Nani anamchafua wakati alijichafua mwenyeww. Utekaji si ulianzia kwake na unyanyasaji si kidogo amuue lisu
 
Kiongozi nilitegemea uwezo wako wa kufikiri na kuchambua ni mkubwa ila naanza kufikiria vinginevyo
Kwani unapinga na hilo. Mbona liko wazi jpm ndo alichafua nchi kwa kuasisi utekaji na ujambazi kupitia vikundi mpaka akamuua mkapa then akaanza kumuwinda jk. Funguka akiri ndugu
 
Demokrasia gani unazungumzia?
Watu kutekwa?
Kufungia mitandao ya kijamii?
Kuzuia uhuru wa kutoa maoni?

Au mimi ndo sielewi maana ya demokrasia
 
Demokrasia gani unazungumzia?
Watu kutekwa?
Kufungia mitandao ya kijamii?
Kuzuia uhuru wa kutoa maoni?

Au mimi ndo sielewi maana ya demokrasia
Vyote hivyo aliasisi jpm. Jpm alizima twiter wakati wa uchaguzi akimhofia lisu
 
JPM hayupo na hana athari yoyote kwa siasa zenu kwa sasa. Haitawasaidia chochote kumshambulia marehemu na kumshindanisha na mtu aliye hai.

Hamuwezi kujitetea bila kumtaja yeye?
Waacheni familia yake wapumzike kusikia mashambulizi dhidi ya mpendwa wao alielala usingizi wa milele.
 
JPM ni shujaa kwa wengi ,si vema akachafuliwa na ikumbukwe kila kiongozi ana falsafa yake ya uongozi katika mtazamo uleule wa kulinda katiba.
Achafuliwi ila jpm ana pande mbili, upande mmoja mzuri na mwingine si mzuri
Why yakisemwa ambayo si mazuri yake anachafukiwa?
 
Asingekuwa anawaogopa Wakosoaji wake sasa!
Wanaomharibia ni Genge la Watekaji na Wauaji.
 
Mkitoka huku kuleta dublicate hoja zenu mnaleta huku.
IMG_1486.jpeg
 
Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli.

Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo

Mama anaajiri, anapandisha mishahra, aliondoa retention fee ya helslb, biabisha na uwekezaji viko juu.

Asante mama
Demokrasia inakosekana kama wananchi hawana uwezo wa kuchagua wawakilishi wao kwa uwazi, haki na uhuru...
Demokrasi haipo kama wakosoaji wanashughulikiwa na dola!
Ajira, mishahara, rentention fee ya HESLB, biashara, uwekezaji hivyo vinafanyika hata kama hakuna demokrasia!

#No Reforms #No Elections #No Free & Fair Elections #No Democracy
 
Wote tunakumbuka kipindi kile ukitokea we ni mpinzani unawindwa na akinq sabaya na makonda kwa maagizo ya yule nduli.

Alifunga mikutano yote ya chadema kwa kuwahofia na hakuwa anapenda kabisa siasa ndo mana nchi iliongozwa kwa uongo mwingi mana hakukuwa na mkosoaji na aliogopa hilo

Mama anaajiri, anapandisha mishahra, aliondoa retention fee ya helslb, biabisha na uwekezaji viko juu.

Asante mama
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumlaumu JPM
 
Back
Top Bottom