Jamii iliyosrarabika yenye kuheshimu demokrasia, mifumo imara inayobeba ya uwajibikaji, heshima ya utu dhidi ya udhalilishaji na uadilifu haishuki kama mvua ya MUNGU inajengwa na SISI na kamwe si WATAWALA.
Watawala wanapaswa kuheshimu matakwa ya WATU!
ANGALIA kule ambako vyama vya UPUNZANI vimeshinda WATAWALA wameepokonya USHINDI, Tunajua yaliyotekea ZANZIBAR, TANGA, KILOMBERO na kwingineko hata HILI linaloendelea JIJI la DAR ES SALAAM. MADIWANI wa UKAWA wanakuwa WENGI lakini bado WATAWALA wanapora USHINDI.
Hii ni FEDHEHA kwa DEMOKRASIA.
Hakika AFRIKA bado sana DEMOKRASIA yetu. Nashawishika kuamini kuwa, HAUTUWEZI kusimamia CHAGUZI zetu wenyewe kwa HAKI kwa kuwa WATAWALA hawataki kuona wakipoteza UONGOZI kidemokrasia, LABDA sasa kiundwe chombo cha kusimamia Uchaguzi kwa NCHI zote za AFRIKA kuanzia URAIS hadi UDIWANI ili kuepusha figisufigisu za kijinga kama ambavyo zinaendelea. LABDA chombo hiki kiendeshwe na WAZUNGU HATA KAMA HATUPENDI tukubali tu sisi wenyewe TUMESHINDWA kujisimamia kwa HAKI katika masuala ya UCHAGUZI!
OLE wao watendayo haya!
OLE wao waporao HAKI!
Maandiko Matakatifu yanatuambia "HAKUNA AMANI KWA WAOVU".
Watapata madaraka lakini hawakaa madarakani kwa AMANI!
Dhuluma Haiwezi Kushinda Haki!