Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.

Mh rais wa JMT JPM amezunguzia vizuri sana kuhusu majipu yanayo lisumbua taifa letu, ambayo yeye binafsi kajitolea kuyakamua ili taifa hili lipone.

bila kumungunya maneno hii tabia tuliyoiona bungeni ni moja ya hayo majipu. tena hili jipu lina kiini chake ambacho ni hatarishi sana. lisiposhughulikiwa kwa muda muuafaka jipu hili litageuka kuwa kansa. hebu tujiulize hivi hawa wabunge wangekaidi amri ya spika Ndungai ya kutoka nje kwa hiari yao ni nini kingetoke, kumbuka pale alikuwapo amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu

sasa mheshimiwa rais tunakuomba hebu kamua jipu hili linaloendelea kukua hapo bungeni. tafahali jamani tusiendelee kupuuzua hii hali. Na andika hivi ni kijua rais ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu.

Demokrasia ya kugoma kumtangaza Maalim Seif Zanzibar ni demomafia
Tumewachagua wabunge waende bungeni kuupinga upumbavu wowote unaofanywa na serikali na haijalishi watatumia style gani.
 
hivi Nkurunziza wa SMZ anaondoka lini??

cc Chama cha mapinduzi
 
CCM ilikwisha zamani ndugu. Sasa imebakia magari 777 ya maji washawasha na "bring back our General". Nje ya hilo ni DOMOkrasi tu.

Piga mahesabu ya mlalahoi waliopatiwa "maisha bora" na CCM. CCM ina wanachama ngapi?

Upinzani wote wana wanachama ngapi?

Ukijua haya mahesabu utajua Uchaguzi hapa Tz ni maigizo na ukamilisho tu wa utaratibu wa kupata kibali cha kwenda kutembeza bakuli.

zinduka na washtue wezanko huko ukiwa tuko awamu ya tano. Kikwete aliwaambia ikweli mtupu in advance kuwa ukawa mtageuka kuwa ukiwa. mkashindwa kufanyia kazi huu ukweli, na ndicho tunachoshuhudia sasa ukawa imegeuka kuwa ukiwa.

Na mimi na kuambieni huu ukweli ukiwa you can't fight ccm, join them. hili tumeliona kwenye uchaguzi wa spika na naibu wake.
fikieni muafaka mtafute njia zuri ya kuwatumikia wananchi.
 
Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.

Mh rais wa JMT JPM amezunguzia vizuri sana kuhusu majipu yanayo lisumbua taifa letu, ambayo yeye binafsi kajitolea kuyakamua ili taifa hili lipone.

bila kumungunya maneno hii tabia tuliyoiona bungeni ni moja ya hayo majipu. tena hili jipu lina kiini chake ambacho ni hatarishi sana. lisiposhughulikiwa kwa muda muuafaka jipu hili litageuka kuwa kansa. hebu tujiulize hivi hawa wabunge wangekaidi amri ya spika Ndungai ya kutoka nje kwa hiari yao ni nini kingetoke, kumbuka pale alikuwapo amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu

sasa mheshimiwa rais tunakuomba hebu kamua jipu hili linaloendelea kukua hapo bungeni. tafahali jamani tusiendelee kupuuzua hii hali. Na andika hivi ni kijua rais ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu.

Kumbe hata wajibu wa bunge na rais hujui!
 
Demokrasia ya kugoma kumtangaza Maalim Seif Zanzibar ni demomafia
Tumewachagua wabunge waende bungeni kuupinga upumbavu wowote unaofanywa na serikali na haijalishi watatumia style gani.

Maalim si alijitangaza mwenyewe, yeye alingiaje kwenye uchaguzi bila ya kujua rules of the game. sasa baada ya kujitangaza mwenyewe ulitegemea zec wafanye kitu gani tofauti na walicho kifanya?
 
Hiv niulize tu ikiwa Shen akiachia madaraka nani atakuwa MKUU mpaka Uchaguz wakati mwingine UKAWA tumien akili Au ndo yule FORM 6 DJ kashawachanganya na viti maalumu vyake?

Ajabu ni pale unapojiona una akili kumbe kichwa kimejaa maji tu, ukawa wanataka zec imtangaze mshindi wa urais zanzibar kwa mjibu wa katiba kwa sababu uchaguzi ulienda vizuri na hakuna chama kilicholalamika iweje mwamuzi yeye ndio alalamike? ukawa hawako tayari kuona katiba ya zanzibar ikivunjwa mchana kweupe
 
Kama mna uhakika anavunja katiba kwa nini msiende kwenye mahakama za ndani au hata za kimataifa mkashitaki?

Uhaini ni kosa la jiani.
Mwenye mamlaka ya kushtaki makosa ya jinai kwa sheria zetu ni nani??
 
zinduka na washtue wezanko huko ukiwa tuko awamu ya tano. Kikwete aliwaambia ikweli mtupu in advance kuwa ukawa mtageuka kuwa ukiwa. mkashindwa kufanyia kazi huu ukweli, na ndicho tunachoshuhudia sasa ukawa imegeuka kuwa ukiwa.

Na mimi na kuambieni huu ukweli ukiwa you can't fight ccm, join them. hili tumeliona kwenye uchaguzi wa spika na naibu wake.
fikieni muafaka mtafute njia zuri ya kuwatumikia wananchi.
Jifurahishe upendavyo. Jitekenye na kujichekesha upendavyo.

Kama Nyerere alisema CCM si baba yake wala si mama yake, unapata wapi uthubutu wa kuwaambia upinzani, if you can't fight them ,join them?

CCM inabidi kama kupigana ipigane na upinzani kama CCM na sio kama Chama dola. Hiyo ndio utaita " a fight" na kama CCM haitaki a fight ambayo ni fair ifute mfumo wa vyama vingi na sio ilete DOMOkrasia.

Ulimwona Dr. Shein ile siku anaapishwa Magufuli na leo bungeni alivyokuwa MKIWA?

Goli la mkono linanyima CCM uhalali wa kuendelea kutawala kisiwa cha amani.
 
Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.

Mh rais wa JMT JPM amezunguzia vizuri sana kuhusu majipu yanayo lisumbua taifa letu, ambayo yeye binafsi kajitolea kuyakamua ili taifa hili lipone.

bila kumungunya maneno hii tabia tuliyoiona bungeni ni moja ya hayo majipu. tena hili jipu lina kiini chake ambacho ni hatarishi sana. lisiposhughulikiwa kwa muda muuafaka jipu hili litageuka kuwa kansa. hebu tujiulize hivi hawa wabunge wangekaidi amri ya spika Ndungai ya kutoka nje kwa hiari yao ni nini kingetoke, kumbuka pale alikuwapo amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu

sasa mheshimiwa rais tunakuomba hebu kamua jipu hili linaloendelea kukua hapo bungeni. tafahali jamani tusiendelee kupuuzua hii hali. Na andika hivi ni kijua rais ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu.
Ili kutibu hii zomeazomea turudi monopartism,kwa 7bu hata hivyo mazingira ya multipartism kwa Tz hayapo.
 
natumia neno zuri mpumbavu ni wewe usiejua kuwa watu wanaendesha political consipiracy zao kwa mgongo wa znz.

Iko Siku Tutawapa Heshima Wa Z'bar...kila kitu kina mwisho ..Tuombe tuishi miaka mingi ili tuona muda wa kila mtu unavotimia....!
 
Jifurahishe upendavyo. Jitekenye na kujichekesha upendavyo.

Kama Nyerere alisema CCM si baba yake wala si mama yake, unapata wapi uthubutu wa kuwaambia upinzani, if you can't fight them ,join them?

CCM inabidi kama kupigana ipigane na upinzani kama CCM na sio kama Chama dola. Hiyo ndio utaita " a fight" na kama CCM haitaki a fight ambayo ni fair ifute mfumo wa vyama vingi na sio ilete DOMOkrasia.

Ulimwona Dr. Shein ile siku anaapishwa Magufuli na leo bungeni alivyokuwa MKIWA?

Goli la mkono linanyima CCM uhalali wa kuendelea kutawala kisiwa cha amani.

ukawa/cdm baada ya kubadili gia angani na kushimda naona sasa mmeibuka na hili la demoghasia, sijui mbunifu wa hii sera nani, inasikitisha sana watu wazima na akili zao kuburuzwa na kushikiwa akili kama watoto wa chekechea.
 
Jifurahishe upendavyo. Jitekenye na kujichekesha upendavyo.

Kama Nyerere alisema CCM si baba yake wala si mama yake, unapata wapi uthubutu wa kuwaambia upinzani, if you can't fight them ,join them?

CCM inabidi kama kupigana ipigane na upinzani kama CCM na sio kama Chama dola. Hiyo ndio utaita " a fight" na kama CCM haitaki a fight ambayo ni fair ifute mfumo wa vyama vingi na sio ilete DOMOkrasia.

Ulimwona Dr. Shein ile siku anaapishwa Magufuli na leo bungeni alivyokuwa MKIWA?

Goli la mkono linanyima CCM uhalali wa kuendelea kutawala kisiwa cha amani.

baada ya ile sera ya kubadili gia angani kushindwa kufikia malengo tarajiwa mmeamua kuficha aibu kwa kuja na hii sera ya demoghasia, tuone nayo itawafikisha wapi?
 
Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.

Mh rais wa JMT JPM amezunguzia vizuri sana kuhusu majipu yanayo lisumbua taifa letu, ambayo yeye binafsi kajitolea kuyakamua ili taifa hili lipone.

bila kumungunya maneno hii tabia tuliyoiona bungeni ni moja ya hayo majipu. tena hili jipu lina kiini chake ambacho ni hatarishi sana. lisiposhughulikiwa kwa muda muuafaka jipu hili litageuka kuwa kansa. hebu tujiulize hivi hawa wabunge wangekaidi amri ya spika Ndungai ya kutoka nje kwa hiari yao ni nini kingetoke, kumbuka pale alikuwapo amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu

sasa mheshimiwa rais tunakuomba hebu kamua jipu hili linaloendelea kukua hapo bungeni. tafahali jamani tusiendelee kupuuzua hii hali. Na andika hivi ni kijua rais ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu.

Mbona hatujiulizi ni kitu gani kinasababisha yote haya? Jamani hivi akili zetu zimeenda wapi? Ni kwetu tumefanyiwa limbwata?
 
Tatizo hawazomei bure kuna kitu kinakuwa hakijawapendezesha na kibaya zaidi hata raia wa kawaida huku nje tumegawanyika kimtazamo kama wabunge wetu hivyo hata sisi hapa jf tunazomeana juu ya mambo hayo tofauti ni kwamba sisi hatuko live luningani bali kwa keyboard.
 
Mkuu Rudi Nyumbani Milango ipo wazi
Unamshauri arudi asalimiane na Afande Kova au vifaru na wanajeshi mitaani?

Husomi magazeti au ripoti zisemazo vifaru na silaha za kivita na " vitu vya ncha kali" vimehamishiwa Zanzibar.

Kama yuko tayari nyumbani ndio sababu anakueleza kuwa watu wanateseka. Sio Zanzibar tu, Magufuli alipofanya ziara ya kujihalalishia urais pale Muhimbili amejionea mwenyewe jinsi wananchi walalahoi wanavyoisoma namba na kuteseka.

Wanafunzi pia wanateseka ile mbaya.

Vijijini huko wanashida na wanateseka ile mbaya.

Maisha ya watanzania wengi ni mateso tu na wachache tu ndio wenye maisha poa.

Kama ulisikiliza hotuba ya Magufuli na kumwelewa imesema Tz watanzania "wana majipu" mengi tu. Majipu huambatana na maumivu.
 
Back
Top Bottom