Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

Demokrasia Bungeni Inapokuwa Demoghasia

Kojo Dowido

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
354
Reaction score
111
Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.

Mh rais wa JMT JPM amezunguzia vizuri sana kuhusu majipu yanayo lisumbua taifa letu, ambayo yeye binafsi kajitolea kuyakamua ili taifa hili lipone.

bila kumungunya maneno hii tabia tuliyoiona bungeni ni moja ya hayo majipu. tena hili jipu lina kiini chake ambacho ni hatarishi sana. lisiposhughulikiwa kwa muda muuafaka jipu hili litageuka kuwa kansa. hebu tujiulize hivi hawa wabunge wangekaidi amri ya spika Ndungai ya kutoka nje kwa hiari yao ni nini kingetoke, kumbuka pale alikuwapo amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu

sasa mheshimiwa rais tunakuomba hebu kamua jipu hili linaloendelea kukua hapo bungeni. tafahali jamani tusiendelee kupuuzua hii hali. Na andika hivi ni kijua rais ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu.
 
Jipu ni huyo mpuuzi wenu aliyeng'ang'ania madaraka wakati muda wake wa kutawala umeshaisha kikatiba. Kwa ufupi anavunja katiba. Huyo ndiyo JIPU has a.

Tofauti na hapo UKAWA wametimiza wajibu wao kwetu tuliowachagua.
 
Ningefurahi kama wangepigwa hao ukiwa maana hawana akili kazi kupayuka tu.
 
Relax , he won't see your post!
 
Hiv niulize tu ikiwa Shen akiachia madaraka nani atakuwa MKUU mpaka Uchaguz wakati mwingine UKAWA tumien akili Au ndo yule FORM 6 DJ kashawachanganya na viti maalumu vyake?
 
Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.
........
sasa mheshimiwa rais tunakuomba hebu kamua jipu hili linaloendelea kukua hapo bungeni. tafahali jamani tusiendelee kupuuzua hii hali. Na andika hivi ni kijua rais ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu.
Hilo ndio DOMOkrasi bhanaaa!
Kama hawataki Domokrasi waachie demokrasi ichukue mkondo wake. CCM imechakachua uchaguzi, upinzani wana haki ya kuonesha kukasirishwa na uhuni wa NEC-ZEC, halali-haramu.

Ashukuru hakurushiwa mayai viza.

Last edited by a moderator:
Ni pale Wabunge walio aminiwa na kupewa dhamana na wananchi kuwa wakilisha bungeni wanapotumia uhuru na haki hii ya kidemokrasia kufanya ghasia za zomeazomea.

ni maoni yangu tufike mahali sasa tusi ivumilie hii tabia ya baadhi ya wabunge wetu.

...

....
"Zomea zomea" ni njia moja ya kufikisha ujumbe.

Mimi sikusikia zomea zomea, nilisikia wakisema "Maalim Seif, Maalim Seif".

CCM na Rais aliyetangazwa na NEC amepata ujumbe...waheshimu maamuzi ya wapiga kura wa Zanzibar. Unaweza kujibu ni kwa nini ZEC haikumtangaza Dr. Shein kuwa mshindi wa Urais?

Uhuni na dhuluma itaharibu kisiwa cha amani na utulivu.
Unaikumbuka KANU? KANU ya Kenya.
 
Last edited by a moderator:
mimi kama mpiga kura naunga mkono kilichofanywa na wabunge wa ukawa 100%.
 
Hiv niulize tu ikiwa Shen akiachia madaraka nani atakuwa MKUU mpaka Uchaguz wakati mwingine UKAWA tumien akili Au ndo yule FORM 6 DJ kashawachanganya na viti maalumu vyake?
Mbona jibu la swali lako ni rahisi sana?
Uchaguzi ulishafanyika tarehe 25/10/2015 huko Zanzibar kwa amani na utulivu na waangalizi wote wa uchaguzi huo wa ndani ya nchi na nje ya nchi wakathibitisha pasipo shaka yoyote kuwa uchaguzi huo ulikuwa huru na wa haki.
Vile vile mawakala wa vyama walishasaini fomu za matokeo za majimbo yote na walioshinda uwakilishi kwenye baraza la uwakilishi walishakabidhiwa na vyeti vyao kuthibitisha ushindi wao.
Kwa hiyo solution ya mkwamo huo wa kisiasa wa Zanzibar unabakia mmoja tu kwa Tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC kukamilisha 'kiporo' cha kutangaza matokeo yaliyokuwa yamesalia na hatimaye wamtangaze mshindi wa Urais wa Zanzibar.
 
Jipu ni huyo mpuuzi wenu aliyeng'ang'ania madaraka wakati muda wake wa kutawala umeshaisha kikatiba. Kwa ufupi anavunja katiba. Huyo ndiyo JIPU has a.

Tofauti na hapo UKAWA wametimiza wajibu wao kwetu tuliowachagua.
Kama mna uhakika anavunja katiba kwa nini msiende kwenye mahakama za ndani au hata za kimataifa mkashitaki?
 
Walichofanya wabunge wa Ukawa ni sahihi kwa asilimia 100.
Huyo mama Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliombwa mwongozo na nguli wa sheria hapa nchini Tundu Lissu kuhusu uhalali wa Dr Shein kuhudhuria bunge hilo akiwa na wadhifa wa Urais wakati Urais wake ulishakoma tokea tarehe 2/11/2015.
Lakini cha kushangaza Mwanasheria huyo alijibu mwongozo huo kwa lengo la kuibeba serikali 'iliyomzawadia' nafasi hiyo.
Alidai kuwa Katiba ya Zanzibar ya Zanzibar inaeleza kuwa Rais wa Zanzibar ataendelea kuwa Rais hadi Rais mwingine atakapoapishwa.
Hivi nimuulize swali moja tu dogo huyo Mwanasheria hivi iwapo hao wahafidhina wa CCM wataamua kutofanya uchaguzi wowote hata kwa kipindi cha miaka 10 ijayo, hivi bado huyo Dr Shein Urais wake utaendelea kuwa halali?
Hivi inawezekanaje huyo mwanasheria aliyebobea hadi kufikia kuwa na PhD ya sheria akaamua kujitoa ufahamu kwa lengo tu la kutumia ule msemo unaosema mtumikie ------ ili upate mradi wako?!
 
Hilo ndio DOMOkrasi bhanaaa!
Kama hawataki Domokrasi waachie demokrasi ichukue mkondo wake. CCM imechakachua uchaguzi, upinzani wana haki ya kuonesha kukasirishwa na uhuni wa NEC-ZEC, halali-haramu.

Ashukuru hakurushiwa mayai viza.

Ushukuru Mungu waliufyata wakatii amri ya spika wakatoka nje kwa hiari yao hawakusubiri kuburuzwa, maana muda huu tungekuwa tunaongelea victims wengine wakiwa icu.
 
Last edited by a moderator:
mimi kama mpiga kura naunga mkono kilichofanywa na wabunge wa ukawa 100%.

Uzuri wenyewe Mungu alimpa hekima mh rais ya kuwaona hawa ukawa kama watoto wanao stahili kuvumiliwa na kupewa malezi.

Na mimi na msisitiza rais aendelee kuwachukulia kama watoto. Na asisahau maandiko matakatifu yanasema usimnyime mtoto kiboko. Kiboko cha kutomnyia huyu mtoto ni kanuni za kuliendesha bunge. Kanuni hizi zirekebishwe iliziweze kuwapa hawa wajinga stahili yao.
 
Back
Top Bottom