Pengine hii inaweza kutusaidia sisi Waafrica kufikiria kwa kutumia vichwa vyetu vikubwa, badala ya kufikiria kwa kutumia vile vichwa vidogo ili tuweze kujikomboa wenyewe!.Jana niliona kwenye news Marekani wataacha kutoa misaada
South Africa ya madawa ya ARV kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine
kwa ujumla Obama amepunguza misaada kwa nchi za Africa mno
George Bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa HIV Africa
Clinton na Obama jumla ya misaada yao Africa haifiki hata robo ya Bush
na ukiacha hilo hata VISA za kuingia Marekani kusoma au kutalii tu
chini ya Bush ni zaidi ya mara mbili chini ya Obama
huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia Democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......Bush was way better than Obama kwa Africa
Pengine hii inaweza kutusaidia sisi Waafrica kufikiria kwa kutumia vichwa vyetu vikubwa, badala ya kufikiria kwa kutumia vile vichwa vidogo ili tuweze kujikomboa wenyewe!.
Leo umewachenjia kibao Democrats? Maajabu ya mwaka haya!
jana niliona kwenye news marekani wataacha kutoa misaada
south africa ya madawa ya arv kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine
kwa ujumla obama amepunguza misaada kwa nchi za africa mno
george bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa hiv africa
clinton na obama jumla ya misaada yao africa haifiki hata robo ya bush
na ukiacha hilo hata visa za kuingia marekani kusoma au kutalii tu
chini ya bush ni zaidi ya mara mbili chini ya obama
huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......bush was way better than obama kwa africa
Jana niliona kwenye news Marekani wataacha kutoa misaada
South Africa ya madawa ya ARV kwa waathirika
kiukweli mwisho wake wataacha kabisa hata kwa nchi zingine
kwa ujumla Obama amepunguza misaada kwa nchi za Africa mno
George Bush alitoa misaada mno na ndo alianzisha programme
maalum za kusaidia wagonjwa wa HIV Africa
Clinton na Obama jumla ya misaada yao Africa haifiki hata robo ya Bush
na ukiacha hilo hata VISA za kuingia Marekani kusoma au kutalii tu
chini ya Bush ni zaidi ya mara mbili chini ya Obama
huwa waafrika tuna kawaida ya kuwafagilia Democrats but
mostly ni chama cha maneno meengi na propaganda but hawana
lolote kiutendaji
data zinaongea ukweli......Bush was way better than Obama kwa Africa
labda...but mbona Israel wanawasaidia tu sana kila mwaka?
yeye Obama haoni aibu?
Mnashangaa nini hao wadogo Zake Hali Yao .clinton kaka ake drug addict alivyoshinda urais tu team ya Watu walikuwa wana mchunga ili asimuabishe kaka ake .obama aunt take Zeituni alitafuta Makaratasi wewewe .Bush alivyoondoka akahakikisha shangazi yake amepata green card kabla hajaondoka ili Usiwe issue .Wakati Huo shangazi yake anaenda courtini walimuuliza Obama the candidate wa uraisi Obama alisema arudi Kenya .Obama na kikwete akili zao sawa watch hii trip

Kwani States kuna nini cha maana si mkae tuu home life is better kuliko wengi wanavyofikiria,huku ni bills tuu za kupasua kichwa,life US sio rahisi
Gay wewe.
Hivi kuna sababu of calling this person a gay?