DEMISS : Kukosa raha day?

DEMISS : Kukosa raha day?

Muhubiri amesema kila jambo kwa wakati wake na kwa majira yake....kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka,.wakati wa furaha na wakati wa huzuni...kwahiyo shoga pole kwa hilo, wakati huu wa leo utapita na utakuja wakati mwingine ambao utafurahia maisha kama kawaida.[emoji4][emoji4]
 
Amesema kwenye mstari wa ngapi?
 
Pole sn.kwa umri ulio nao hakuna cha kukuliza ila ni kuondokewa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom