DEMISS : Kukosa raha day?

DEMISS : Kukosa raha day?

Nyie sio Wa kuamini 100% hata kidogo tu nahisi kuna jambo limekusibu pole sana ila hata samaki hutegwa chambo tu na kusahau kuwa mwili wake utaliwa kwa kachambo tu
Hakuna jambo lolote nashangaaa tu sina raha sababu ni nn?
 
muulize mumeo ni mkali wa hizo mambo
amesaidia wengi sana
 
huwa inatokea kwa mwanadamu yoyote,
Jipe muda tu itaisha ila ss epuka kusikiliza sad songz na acha kuwazia mambo yanayoleta huzuni,

Dance yourself out kama unaweza na unapenda hadi jasho litoke [emoji1][emoji1][emoji1]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom