Demiss amepotelea wapi?

I'd yako unatakiwa uijue peke yako ili uwe huru!
kuna memba alisha wahi kusema yy kama anataka kuweka password ili aingie jf anahakikisha hata mbu hayupo mgongoni mwake
kwa kuwa anaogopa nini kiasi hicho jamani?
 
Mlifanyana nini mpaka akutishie hivyo?
 
Nyie wanawake kwan mna shida ?? Hata hamna shida.

Shida iko upande wapili

Yaan MTU kula mbususu ya MwanaJF ,anaona kala mbususu ya Sayari ya Mars ,kiasi kwamba , atawashwa washwa weeee, atafute lakuja nalo ,ili mradi aonekane naye kala MZIGO humu.

tatzo nyie wanajisi papuchi ni tofauti
lol koo linawasha friji haligandishi
 

Mim nilikuwa nacheka mno basi ulikuwa unatuchamba
Nimekudharau sanaaaa
 
wadada naona mnamtetea mdangaji mwenzenu nayeye amejifichatu atokee ilimpeleke mashambulizi musianikwe ilando dawayenu
 

Mafriji hayagandishi
 
Eehh!kula mzigo jikatae ukiuelewa tuendeleze libeneke...kwani shi.ngapi...?!!ila unavokuja kunisanua humu sio poa wala nini..!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Na huyo mdada ni mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…