Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Mambo ni mengi siku hizi hatuitan ubaya huo ndio tunapitwaMno yaani.
Mimi wiki nzima hii nipo humu ila ajabu sijui chochote,hata sikuona.
Mambo ni mengi siku hizi hatuitan ubaya huo ndio tunapitwaMno yaani.
Mimi wiki nzima hii nipo humu ila ajabu sijui chochote,hata sikuona.
Ahaaa ule uzi mrefu sana wa miaka mingiSijawahi kukuona kwenye uzi wa Sefika huu ubuyu unatokea kule kwenye uzi nikikutumia utakuwa huelewi🤨
DahMambo ni mengi siku hizi hatuitan ubaya huo ndio tunapitwa

Khaaaa!Unakumbuka ule uzi tukawa na mawardat tunasema umefika patamu ndio wamefuta?
Mi napitaga kwenye ule uzi wenu mara moja moja kimya kimya..nimeelewa kiduchu ila sio sanaAiseee!
Bora angalau umeelewa..
Nitapatapo koneksheni maana nipo nashangaa tu hapa na macho yangu.

Mdogo wangu unauliza kwa huruma jamaniDah
Mimi najiuliza sipati majibu,,selfika mbona nipo.



Mimi niliyepo kila siku ndio sielewi chochoteMi napitaga kwenye ule uzi wenu mara moja moja kimya kimya..nimeelewa kiduchu ila sio sana![]()





Dah afadhali Unitoe kwenye mataaMdogo wangu unauliza kwa huruma jamani
Ngoja nije kukupa hint kama niko sahihi

😂😂 dj waleteeee wenye shida ya Demiss.Mwacheni Chamdeko apumue lohView attachment 2017338
Ana kifua ameizingggggg!!Mwacheni Chamdeko apumue lohView attachment 2017338

Tyutyu zile ngumu ngumu mnaapenda wenyewe!!!


dj waleteeee wenye shida ya Demiss.
😂😂😂msalimie sana Demiss
dj waleteeee wenye shida ya Demiss.
Huna maana kabisa.... sichezi tena na wewe




Masimango yamezidi nimeanza kutupia moja mojaAna kifua ameizingggggg!!Tyutyu zile ngumu ngumu mnaapenda wenyewe!!!
![]()
Anakusoma hapa tulipomsalimie sana Demiss
Mleteeee mleteeeee!!! Afu Mbona mzuri jamani chocolate color fulani tamuuMasimango yamezidi nimeanza kutupia moja moja

!!!! Ebu ngoja nitie maji nywele zangu miye


!!!