Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
20k?? Wee una utani, hiyo hata haifikii bei ya ile pensi aliyotupia, hapo hujaweka mguu wa bia + maudambwi udambwi mengine.Mimi nataka id ya mutamu mutamu 😂😂😂 nikupe basi elf 20 uniambie, usinibanie merii😂😂😂😂
Ongeza dau best nitakuachia tena mazima maana saivi naishi kwa hofu nishatishiwa maisha🤣🤣🤣