Demiss amepotelea wapi?

Demiss amepotelea wapi?

Maana ya huo msemo ni nini?
Maana yake ni safari ya kitu fulani ndiyo inaanza then mhusika mkuu anaishia njiani kwa sababu fulani.
Ticha wetu huwa anautumia kama kutuhimiza kuzingatia kusoma hasa topic fulani anazoona ni compulsory kwa exams, anasema siku ya mtihani swali la kwanza tu hujui, unaishia njiani ama unafia kwenye maua🤪
 
Humu jf bana

Jana na Leo ndo nimeamini humu watu wamepinda

Yaan mtu anajiponda tena anajiharibia kabisa kuwa anauza uchi kwa id nyingine kabisa

Sitakaaa nisahau huu uzi asee
Dada Wity tufungulie basi tucheke wote 🤣🤣🤣🤣
 
Yeah namie kama mzigua, sikupenda alivomuattack yule kaka kwa kumsema hata akipewa kazi akicheleweshwa mshahara atatangaza....na pia kuanikwa vile haikuwa poa.

Ila pia nlikuaga nabaki hoi zile mishe. Kwamba chini ya hili jua sijui alibakiza biashara gani kunangwa sasa!!! Watz wavivu, hatujitumi, mtz mimi nlikua nasoma comments tu....
Hapa ndo huoneshi unafiki sasa
 
Humu jf bana

Jana na Leo ndo nimeamini humu watu wamepinda

Yaan mtu anajiponda tena anajiharibia kabisa kuwa anauza uchi kwa id nyingine kabisa

Sitakaaa nisahau huu uzi asee
Wity nitobolee hili jipu basi
 
Back
Top Bottom