Demiss amepotelea wapi?

Katika wanawake niliokuwa napenda kila siku nisome uzi au comments zake alikuwa mchizi Demiss huyu dada alikuwa na kitu pekee juu ya uwakilishi wa maandishi yake. Niwe mkweli nimemmiss sana huyu dada Demiss la Lara1.


Lunatic
 
Haaahaaa
 
Na atafutwe popote alipo. Au katekwa na watu wasiojulikana humu?! Au shem kambana sana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…