Na mie nimo humo babeeeh,Hapa sasa umenifungua macho kuna kitu nilimiss kukielewa, exactly siwezi sex na mtu kama sijatengeneza nae bond hata kama ni kwa muda mfupi lakini zaidi nafall deeper kwa mtu ambaye ana uwezo mkubwa wa akili, mtu anayeweza kuchambua mambo, mtu ambaye anaangalia vitu kwa uchanya (positivity),
So i'm Ambivert, Homosexual, Sapiosexual and Demisexual, hehehehe patamu hapoooooo
And I wasn't even referring to sex.Watu wengi sio observant mnajali tu utamu wa sex baaasiiii. Ila kwa mtu observant na mwenye Low latent Inhibition kama mimi hivyo vitu ni muhimu sana kuvichunguza. Inakua tamu zaidi ukimpenda mtu uliyemchunguza Soul,Mind na physical...
Ila ukiwa driven na sex hutaona umuhimu wake
Jitahidi uwe LLI ndio maana mengi yanawapita duniaani😆
Mapenzi ni zaidi ya kufanyiana multiple orgasms
One stand , nah for me.I apologise for getting you wrong mate...ila nazidi kuthibisha kwamba knowledge is Curse
Soma zaidi hapo kuhusu LLI
Kama kawaida mzee wa kutiririka😆
Kuna vitu wanaita one night stand na love at first sight...
Ukitwngeneza nae bond ujue umeshamsoma na umeona traits alizonazo zinakufaa either direct or indirectly, Nachozungumzia ni swala la watu kutokungoja kutengeneza bond na mtu yaani mmekutana bar mnamalizana hukohuko au kesho yake.
Kikubwa waafrika sio observant sio tu kwenye mahusiano ila mambo mengi tu tunajali Quantity kuliko Quality yakitu. Kwa wenzetu swala la kumfahamu mwenzio his inner part ni muhimu sana
Splendid.One stand , nah for me.
Sex to me is more of beyond flesh nafkr.
So nitajitahidi kufahamu mtu vya kunitosha kufika hiyo beyond flesh.
But still, hata nikikujua na nikakuta mambo meusi meusi baadae, story inaishia hapo hapo and I'm gud.
Nakuchambua ndio though najua ni kupiga deki bahari maana haita saidia lolote upande wangu😆Am I selfish?
Mana huchelewi kuanza kunianalyse wewe.
Mxxxxie
Thanks for the one of interested Topic.
I smelled it..
Wewe ni Demisexual sema unaweza kua character kadhaa za Sapio. Sijajua mchanganyiko wa sapio na demi unaitwaje.
Binafsi mtu akiwa Intelligent (obvious inteligent peoples are postive) halafu akiwa Kind nakufa kabisaa.
Hatari bado ukute wewe ni Assertive pia ni Stoic
Yeaah surely, ukipenda na mwingine akakupenda as how it supposed basi kunakua na strong bond ya mapendoThanks for the one of interested Topic.
I appreciate your work.
Actually love is problematic kwa duniani ya sasa. Sisi kama binadamu tumesahau maana halisi ya upendo. Mwenyezi Mungu amemuumba mwanadamu iliapende na sio kupendwa.
Kila mtu anataka apendwe kuliko kupenda nadhani Capitalism imeingilia hadi upande wa Hisia.But nowdays tunafocus sana kwenye kupendwa kuliko kupenda. Kila mtu anaweka hisia zake mbele na sio za mwenzake na hapa ndipo chanzo cha matatizo yote.
🙏 Thanks for appreciation mateMathayo 22:37-40 “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’ na ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe’.
Pedophile nawaona wanavyohangaika na tutoto twa primary school
Noma sana mkuu things are pretty miserable out here. Demisexual personel huteseka san kama mwenza wake asipomfahamu vizur. Wengine wanaweza kutake advantage juu ya hali yako jiyo kukuControl mapenzini
Hao wanafalsafa ni wajinga tu wajinga wa kutupwa
Hakuna mtu anayezaliwa na moyo wa chuma (Iron Heart), au steel backbone kana kwamba hasifeel maumivu per day.Yeaah surely, ukipenda na mwingine akakupenda as how it supposed basi kunakua na strong bond ya mapendo
Kila mtu anataka apendwe kuliko kupenda nadhani Capitalism imeingilia hadi upande wa Hisia.
🙏 Thanks for appreciation mate
Sure thing, hasa kwa yule uliyempenda kwa dhati toka moyoni with any doubt of feelingsHakuna mtu anayezaliwa na moyo wa chuma (Iron Heart), au steel backbone kana kwamba hasifeel maumivu per day.
Life circle is not that promising mate, we (demis) we expect the unexpected.Upendo si Upendo tena, mwanadamu anaona bora aishi na domesticated animal (paka na mbwa) ndani ya nyumba kuliko kuishi na mwanadamu mwenzake. Watu ambao wanaemotional personality (DEMISEXUAL) wanaexperience alot of difficulties kwenye mahusiano ndani ya modern world ambapo watu wanapenda sana materials world na kusahau humility (Ubinadamu). Sisi sote ni mashahidi bila pesa kwenye modern world utambulia maumivu kwanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye ngazi ya familia. Kwa maana asiyenacho hathaminiki, Even though tumeumbwa hili tupende na kuform very a strong communion of love, to love life, to be life, and to be love.
Best regards
Da'Vinci
Hili kuweza kurudisha upendo na amani ya moyoni. Inatupasa kutumia muda mwingi kuishi na watu watupendao unconditionally rather than who love us with a certain conditions.Sure thing, hasa kwa yule uliyempenda kwa dhati toka moyoni with any doubt of feelings
Life circle is not that promising mate, we (demis) we expect the unexpected.
Je Mwanadamu afanyaje kurejesha upendo usio na shaka kwa wanadamu wenzake bila kuangalia materials
This explanation 👏👏In default mode mwanadamu yoyote Yule ameumbwa anahitaji kupenda au kupendwa, hata ufanyaje huwezi kukwepa huu mtego coz it’s a law of nature and you can’t escape a law of mother nature because nature always find its way and always win.Upendo ndio msingi wa maisha ya mwanadamu, ktika kupenda au kupendwa kumebadilisha maisha ya watu wengi waliokua waovu,watukutu na makatili..mtu yoyote Yule aliye katili hua ukimpatia upendo basi utaweza kumbadirisha kuwa mtu mwema.
Hata mtu awe gaidi kivipi au katili kiasi gani kunakuaga yupo mtu mmoja au zaidi ambao anawapenda na kuwajali, kwasababu ili maisha ya mtu mmoja mmoja yalete maana halisi ya kuitwa maisha lazima wawepo watu ambao anawajali na kuwapenda ndio maana ili uitwe mwanume kamili lazima uwe na familia ambayo unaipenda na kuihudumia… mwanaume kamili anajiona na kuuFeel uanaume wake pale anapoweza kuhudumia nakujali familia yake na ndugu zake. Why this? Its just because everyone need to belong to someone, everyone need to have someone who she/he care for